Umoja wa Mataifa yashtumu matukio Uganda

Ni mara ngapi viongozi wa nchi za magharibi wanatembeza bakuri la kutafuta fursa za uwekezaji Afrika?
hamna hata mara moja bali viongozi wa afrika huenda kule kwao kuwaita na ndo maana kauli za viongozi wa afrika husema 'tunajenga mazingira mazuri ili kuvutia wawekezaji ili waje wawekeze nchini' hivyo basi kumbe huandaa mazingira na kwenda kuwaita waje huku wakiwashawishi 'kule kwetu bana kunamazingira mazuri sana'
nchi za afrika ziko katika mashindano ya kusababisha wazungu waje wawekeze kwao
 
Duh haya bana basi wasifanye uchaguzi
Pale walikua wanatimiza matakwa ya kikatiba tu......ila wakati kura zinapigwa mwenyekiti wa tume ashatangaza matokeo muda mrefuuu
 
hamna hata mara moja bali viongozi wa afrika huenda kule kwao kuwaita na ndo maana kauli za viongozi wa afrika husema 'tunajenga mazingira mazuri ili kuvutia wawekezaji ili waje wawekeze nchini' hivyo basi kumbe huandaa mazingira na kwenda kuwaita waje huku wakiwashawishi 'kule kwetu bana kunamazingira mazuri sana'
nchi za afrika ziko katika mashindano ya kusababisha wazungu waje wawekeze kwao
Sasa huoni hata wao wanahitaji fursa ya kutembezewa bakuri wapate vya kujenga nchi zao.
 
Ni mara ngapi viongozi wa nchi za magharibi wanatembeza bakuri la kutafuta fursa za uwekezaji Afrika?

Bakuli lao at least linakuja na chochote mkuu ingawa kwa masharti mazito, sasa sisi letu tupu linapiga kelele za kuomba tu. Bakuli tupu halilambwi na ndo maana wana nguvu za kutuambia tufanye watakavyo wao.
 
1456370771146.jpg

Waganda wameshaanza kuombeana haya kupitia photoshops
 
Back
Top Bottom