hamna hata mara moja bali viongozi wa afrika huenda kule kwao kuwaita na ndo maana kauli za viongozi wa afrika husema 'tunajenga mazingira mazuri ili kuvutia wawekezaji ili waje wawekeze nchini' hivyo basi kumbe huandaa mazingira na kwenda kuwaita waje huku wakiwashawishi 'kule kwetu bana kunamazingira mazuri sana'Ni mara ngapi viongozi wa nchi za magharibi wanatembeza bakuri la kutafuta fursa za uwekezaji Afrika?
Duh haya bana basi wasifanye uchaguziKing'ora kitamu jamani.....wakomae tu na swahiba wake Mugabe
Ha ha ha walikuwa wanafanya usanii ni huruma aiseePale walikua wanatimiza matakwa ya kikatiba tu......ila wakati kura zinapigwa mwenyekiti wa tume ashatangaza matokeo muda mrefuuu
Sasa huoni hata wao wanahitaji fursa ya kutembezewa bakuri wapate vya kujenga nchi zao.hamna hata mara moja bali viongozi wa afrika huenda kule kwao kuwaita na ndo maana kauli za viongozi wa afrika husema 'tunajenga mazingira mazuri ili kuvutia wawekezaji ili waje wawekeze nchini' hivyo basi kumbe huandaa mazingira na kwenda kuwaita waje huku wakiwashawishi 'kule kwetu bana kunamazingira mazuri sana'
nchi za afrika ziko katika mashindano ya kusababisha wazungu waje wawekeze kwao
anayemfuata mwenzake ndo mwenye shidaSasa huoni hata wao wanahitaji fursa ya kutembezewa bakuri wapate vya kujenga nchi zao.
Ni mara ngapi viongozi wa nchi za magharibi wanatembeza bakuri la kutafuta fursa za uwekezaji Afrika?