Tetesi: Umoja wa Ulaya kumtakia kila lililo la kheri Lissu

Tetesi: Umoja wa Ulaya kumtakia kila lililo la kheri Lissu

Wazee wa fununu kazini, eti za ndani🤣🤣 Mkuu ulibahatika kuisikia hyo simu kutoka umoja wa ulaya? Huu uchaguzi kuna watu mtaachwa na stroke msipokua makini, mihemko imewazidi. Wajumbe wanawachora tuu wanangoja 21.01 wale kichwa
 
Amini mimi ndugu yangu.
 
Mwaka Huu Tundu Lissu anachukua nchi kutoka Kwa Samia, hawezi kushinda , Lissu Ni Baba Yetu
 
Nakubali Lissu ni mwanasiasa mzuri, nakubali pia anafaa kuwa mwenyekiti wa chama, hata kwenye huo uchaguzi ningekuwa katika nafasi ya kupiga kura ningemchagua.

Lakini Lissu hafai kuwa raisi...

Lissu ni whistle-blower mzuri, lakini uraisi hapana nakataa.
Hata huyu aliyepo naye hakuna kitu.
 
Hata mimi namtakia ushindi mwema mh. Lissu. Naamini ushindi wa Lissu ni mwanzo wa ukombozi wa Nchi hii.
 
Back
Top Bottom