Umoja wa Ulaya ndio umoja wenye nguvu unaofuata

Wakati huo US atakuwa wapi? maana yeye si member wa EU au naye ataangushwa Kama Russia na China Kama unavyo tabiri? Je una ujua unabii wa kondoo mume mwenye pembe mbili aliyeibuka Kutoka katika nchi katika kitabu cha Daniel na ufunuo?
USA ataumizwa kwenye vita vya Magog (Russia/Rosh + Gomeri/Beralus + Torgamah/Turkey + Uajemi/Iran + Kush/Ethiopia + Put/ Libya + Syria + Lebanon dhidi ya Israel. Vita hivi vitamgharimu sana USA kwa Kutoa Uchumi na Silaha zake kwa Israel ili ishinde. Ulaya inajificha kwenye kivuli cha USA linapokuja suala la msaada wa kivita. EU inajijenga sasa kitekinolojia kimya kimya, teknolojia ya EU si ya Kivita bali ni ya Kimaisha ( nishati, chakula na miundombinu bora), baada ya USA, China,na Russia kutwangana nuklia Ulaya itakua eneo pekee lililo sawa Kimaisha duniani, kwahiyo USA atapeleka (submit) nguvu zake kwa EU. EU haitapigana vita ndio maana inamkwepa Russia kwa sasa, maana inajua Biblia iliwatabiria nguvu zao zipo kwenye ushawishi wa maneno si vita na watashinda.
 
Ila vyovyote iwavyo US sio EU memba lkn nahapo mtoa mada kaiongelea EU kama EU
Ama mimi sijaelewa
 
Just imagine

GDP ya EU ni 18Trillion Dollars halafu ujumlishe na GDP ya USA ni 23 Trillion Dollars jumla 41 Trillion USD!

Ni nusu ya GDP ya dunia nzima

US+EU global domination....halafu eti Russia 1 Trilion na China 13 Trillion ishindane na 41 Trillion?

These motherfvckers are on strong drugs!
 
Roma ya zamani itarejea kwa mtindo wa kuinuka kwa EU Kaa ukijua hilo
 
Hizi zilikuwa predictions kabla ya kuundwa kwa umoja wa ulaya huko 1950s, kulingana na maandiko. Maandiko yakaenda mbele zaidi na kusema"wataungana lakini watatawanyika na hawatakuwa imara Tena" hili andiko linajithibitsha kwa kujitoa kwa uingereza kwenye umoja wa ulaya, madhara ya corona kwenye uchumi wa ulaya, na kitisho Cha Urusi.nk. sikumbuki kama Ufunuo au Daniel
 
uchumi wa Ulaya usha fikia kikomo cha kukua kwao. Wale hawaweze Expand zaidi ya pale walipo.

Asia ndo kuna nchi zinakuja kwa kasi sana hasa India.

Njaaa ya ukuaji kiuchumi iko Asia, na South America na Africa ingawa Africa tumelala
 
Kwa hiyo unamaanisha vinchi vyote vya ulaya vinabidi viungane ili walau viweze kushindana na china mzee wa one man show au sio?
 
China inapigana Vita gani kwa Sasa ? Na anapigana na Nani?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…