Umoja wa Ulaya ndio umoja wenye nguvu unaofuata

Umoja wa Ulaya ndio umoja wenye nguvu unaofuata

Wakati huo US atakuwa wapi? maana yeye si member wa EU au naye ataangushwa Kama Russia na China Kama unavyo tabiri? Je una ujua unabii wa kondoo mume mwenye pembe mbili aliyeibuka Kutoka katika nchi katika kitabu cha Daniel na ufunuo?
USA ataumizwa kwenye vita vya Magog (Russia/Rosh + Gomeri/Beralus + Torgamah/Turkey + Uajemi/Iran + Kush/Ethiopia + Put/ Libya + Syria + Lebanon dhidi ya Israel. Vita hivi vitamgharimu sana USA kwa Kutoa Uchumi na Silaha zake kwa Israel ili ishinde. Ulaya inajificha kwenye kivuli cha USA linapokuja suala la msaada wa kivita. EU inajijenga sasa kitekinolojia kimya kimya, teknolojia ya EU si ya Kivita bali ni ya Kimaisha ( nishati, chakula na miundombinu bora), baada ya USA, China,na Russia kutwangana nuklia Ulaya itakua eneo pekee lililo sawa Kimaisha duniani, kwahiyo USA atapeleka (submit) nguvu zake kwa EU. EU haitapigana vita ndio maana inamkwepa Russia kwa sasa, maana inajua Biblia iliwatabiria nguvu zao zipo kwenye ushawishi wa maneno si vita na watashinda.
 
Nani ni mbwa kati USA na EU?. USA amezaliwa kutoka mchanganyiko wa Spain, Portugal, Italy(Roma), France, UK, Germany na e.t.c. Kwahiyo USA, ni Mtoto Simba wa Simba EU. Soma Ezekiel 38: 13. Inawatambulisha EU kama Simba(Wafanyabiashara wa Tarshish) na Wana - simba ni USA, Canada, South America, New Zealand na Australia. Utawala wa dunia taratibu kwa sasa unatoka USA, China na Rusia, unakwenda kwa EU(Dola Rumi Ya Kale).
Ila vyovyote iwavyo US sio EU memba lkn nahapo mtoa mada kaiongelea EU kama EU
Ama mimi sijaelewa
 
Kwa wale wanaotamani China au Russia ndiyo atakuwa superpower wanajidanganya.

Huu hapa ndiyo ukweli. The next super power atakuwa UMOJA WA ULAYA yaani European Union. Maandalizi YOTE Yako tayari.

Tayari sarafu ya hiyo empire ipo kazini (euro), Tayari soko la UMOJA huo lipo ( euro zone), Tayari passport Moja ipo tayari, Tayari mamlaka ipo ( Brussels), Tayari bunge lipo, Tayari misaada ya European union ipo, Zimebaki hatuwa chache sana ili hii mamlaka ianze kufanya kazi kikamilifu.

Mwenye macho na aone. Kama wewe unafuatilia sana mambo ya Dunia, utaona kabisa hii zone Ina uchumi imara sana tofauti na china au Russia.

Namaanisha uchumi imara sio mkubwa. Kuna utofauti kati ya uchumi imara na uchumi mkubwa.
Just imagine

GDP ya EU ni 18Trillion Dollars halafu ujumlishe na GDP ya USA ni 23 Trillion Dollars jumla 41 Trillion USD!

Ni nusu ya GDP ya dunia nzima

US+EU global domination....halafu eti Russia 1 Trilion na China 13 Trillion ishindane na 41 Trillion?

These motherfvckers are on strong drugs!
 
Mkuu ntakuletea mstari unaolezea EU haiwezi ikasimama tena. Kwanza EU wametofautiana kisiasa mpaka sasa wameshindwa kuwa na Rais mmoja wa EU, pili kuna nchi bado hazijajiunga na EU, tatu kujitoa kwa UK ilikua ni pigo kubwa san.
Sarafu yao imeanza kuporomoka kwa thamani.

Tambua uwepo wa EU ni tishio sana kwa US ndomana anafanya kila njama ianguke. Nitakupa huo mstari subir nitulie
Roma ya zamani itarejea kwa mtindo wa kuinuka kwa EU Kaa ukijua hilo
 
Mkuu ntakuletea mstari unaolezea EU haiwezi ikasimama tena. Kwanza EU wametofautiana kisiasa mpaka sasa wameshindwa kuwa na Rais mmoja wa EU, pili kuna nchi bado hazijajiunga na EU, tatu kujitoa kwa UK ilikua ni pigo kubwa san.
Sarafu yao imeanza kuporomoka kwa thamani.

Tambua uwepo wa EU ni tishio sana kwa US ndomana anafanya kila njama ianguke. Nitakupa huo mstari subir nitulie
Hizi zilikuwa predictions kabla ya kuundwa kwa umoja wa ulaya huko 1950s, kulingana na maandiko. Maandiko yakaenda mbele zaidi na kusema"wataungana lakini watatawanyika na hawatakuwa imara Tena" hili andiko linajithibitsha kwa kujitoa kwa uingereza kwenye umoja wa ulaya, madhara ya corona kwenye uchumi wa ulaya, na kitisho Cha Urusi.nk. sikumbuki kama Ufunuo au Daniel
 
Kwa wale wanaotamani China au Russia ndiyo atakuwa superpower wanajidanganya.

Huu hapa ndiyo ukweli. The next super power atakuwa UMOJA WA ULAYA yaani European Union. Maandalizi YOTE Yako tayari.

Tayari sarafu ya hiyo empire ipo kazini (euro), Tayari soko la UMOJA huo lipo ( euro zone), Tayari passport Moja ipo tayari, Tayari mamlaka ipo ( Brussels), Tayari bunge lipo, Tayari misaada ya European union ipo, Zimebaki hatuwa chache sana ili hii mamlaka ianze kufanya kazi kikamilifu.

Mwenye macho na aone. Kama wewe unafuatilia sana mambo ya Dunia, utaona kabisa hii zone Ina uchumi imara sana tofauti na china au Russia.

Namaanisha uchumi imara sio mkubwa. Kuna utofauti kati ya uchumi imara na uchumi mkubwa.
uchumi wa Ulaya usha fikia kikomo cha kukua kwao. Wale hawaweze Expand zaidi ya pale walipo.

Asia ndo kuna nchi zinakuja kwa kasi sana hasa India.

Njaaa ya ukuaji kiuchumi iko Asia, na South America na Africa ingawa Africa tumelala
 
Kwa wale wanaotamani China au Russia ndiyo atakuwa superpower wanajidanganya.

Huu hapa ndiyo ukweli. The next super power atakuwa UMOJA WA ULAYA yaani European Union. Maandalizi YOTE Yako tayari.

Tayari sarafu ya hiyo empire ipo kazini (euro), Tayari soko la UMOJA huo lipo ( euro zone), Tayari passport Moja ipo tayari, Tayari mamlaka ipo ( Brussels), Tayari bunge lipo, Tayari misaada ya European union ipo, Zimebaki hatuwa chache sana ili hii mamlaka ianze kufanya kazi kikamilifu.

Mwenye macho na aone. Kama wewe unafuatilia sana mambo ya Dunia, utaona kabisa hii zone Ina uchumi imara sana tofauti na china au Russia.

Namaanisha uchumi imara sio mkubwa. Kuna utofauti kati ya uchumi imara na uchumi mkubwa.
Kwa hiyo unamaanisha vinchi vyote vya ulaya vinabidi viungane ili walau viweze kushindana na china mzee wa one man show au sio?
 
Na ndie 666 ajaye, ana sifa ya Babuloni ya kale (angalia sura ya jengo bunge la Umoja wa Ulaya kama la babeli). Ana sifa ya Kahaba Jezebel ( Angalia kiongozi wa EU wa Sasa Ursula Von Leyen), Ana sifa ya Kuongea na kulazimisha Makufuru Kama zile dola za Rumi ya kale. Ndio block itakayo tawala dunia baada ya Russia na China kumalizwa na sera zao za vita za sasa. Kwaiyo wao EU wanafurai wanapoona vita duniani kwa sasa, maana ni wakati wao wa kuinuka.
China inapigana Vita gani kwa Sasa ? Na anapigana na Nani?🤔
 
Back
Top Bottom