Umoja wa Ulaya umeamua kukata misaada kwa Serikali ya Burundi kutokana na uvunjwaji wa haki za binadamu

Sasa wafanye kweli na hapa kwetu maana maccm baada ya wizi wao yanahangaika sana mpaka kufikia kufoji saini ya Mnyika ili tu COVID19 waingie bungeni ili kuwazuga MABEBERU kwamba bungeni kuna wapinzani hivyo tuendelee kuvuta mpunga wao wa matrillions.
Thnxs kwa link mkuu,jana dikteta wa Burundi alikutana na wajumbe wa EU nikahisi wanaweza kumsamehe halafu wakawa wamezingua.
 
Kumbe wana extend nilijua kitu kipya ........maisha yanasonga
 
We lofa sana, hakuna wa kuiwekea vikwazo Tanzania, by the way, haki ipi imekiukwa Hapa nchini? na kama vikiwekwa wewe una benefit nini?
 
Huyu si alikua mhuni tuu juzi juzi wakati anakuja kusuhulishwa hapa na JK akiwa na wenzake bas tuu kapata urais ndio hivyo
 
Weka bado la kutosha umuangalie zito alivyokua wanayajenga na mwenzake wa ccm huku maalim seif akiapishwa we umebaki hapo kunita mzalendo ,munachezea vipondo wenzenu wanapeana mikono mambo kama kawa wewe umebaki kuendeleza maneno yako yasiyotoka kichwani wenzako waliokumezesha maneno hayo washayasahau zaman wanamuelekeo mwengine .usipokua na akili ya kuchanganua mambo utapata tabu sana hapa duniani
 
😀😀 Jamaa kavaa bonge la cheni dahh Kama 50cent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…