Umoja wa Ulaya umekasirika na "hautavumilia" kuchukuliwa Greenland na Marekani

Umoja wa Ulaya umekasirika na "hautavumilia" kuchukuliwa Greenland na Marekani

Ufaransa inatokwa povu wakati denmark inaona poa tu marekani ichukue kama wagreenland wataamu wawe chini ya marekani. Uingereza iko kimya hadi sasa, ujerumani imekohoa na kusema si vema. Wote hawa ni NATO hawatabondana hata kama marekani itaamua kuinyakua wataacha inyakuliwe tu na huyo mkubwa wa NATO
 
Hizi taarifa feki zinazotolewa masjid ubwabwa na hawa mujahideen ni za kupuuza tu maanake ni porojo tu za huko masjid ubwabwa.
 
Wanaukumbi

UST IN:

🇪🇺🇺🇲 European Union is angry and will "not tolerate" a takeover of Greenland by the United States:

France warned Trump against threatening the bloc's "sovereign borders" — Telegraph
===============
🇪🇺🇺🇲 Umoja wa Ulaya umekasirika na "hautavumilia" unyakuzi wa Greenland na Marekani:

Ufaransa ilimuonya Trump dhidi ya kutishia "mipaka huru" ya umoja huo - Telegraph


View: https://x.com/megatron_ron/status/1876986349766468093?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Greenland anaitaka, Canada anaitaka, Panama anaitaka hadi Mexico.
 
The prince; sometimes unanisababishiaga kusoma nyuzi zako zaidi ya mara 1 yaani; kichwa ni umoja wa Ulaya; tamko ni la Ufaransa???? Ufaransa ndio amekua "umoja wa ulaya"?
Nazichukia siasa za USA lakini pia, Ufaransa imekua against na Marekani kwa muda mrefu kidogo so tamko lao kuihusu USA haliwezi kua ndio tamko la EU.
Unakumbuka wakati George Bush Jr anakwenda kuivamia Iraq ya Saddam Hussein? The whole Europe is either they were with USA or they decided to zip up their mouths but was ONLY France who was against with the decision; is France again here.
 
Back
Top Bottom