Umoja wa Ulaya waidhinisha awamu ya 7 ya Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi

Umoja wa Ulaya waidhinisha awamu ya 7 ya Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank

Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa Dhahabu ndio chanzo kikuu cha mapato cha nchi hiyo ambayo ni ya Pili kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

..................................................................

European Union diplomats meeting in Brussels have agreed a new round of sanctions against Moscow for its war in Ukraine, including a ban on importing gold from Russia and freezing the assets of the country’s top lender Sberbank.

It is the seventh EU package of sanctions on Russia. The last one passed in June imposed a ban on most Russian oil imports.

“The main goal is to align with G7 partners, reinforce the implementation and close the loopholes where necessary,” the Czech government, which holds the EU’s rotating presidency, tweeted on Wednesday.

Russia is the second-largest gold-producing nation in the world. Gold exports are a significant source of revenue for Russia in terms of their ability to transact with the global financial system.

Last year, they were worth $15.45bn and wealthy Russians have been buying bullion to reduce the financial effect of Western sanctions.

As she proposed the measures to member states last week, EU Commission President Ursula von der Leyen said thy would help enforce earlier sanctions more effectively and extend them until January 2023.

“Moscow must continue to pay a high price for its aggression,” she added.

The embargo on gold imports fulfils a decision agreed by the world’s most industrialised nations at a G7 meeting in late June in which EU members Germany, France and Italy took part.

The sanctions will also freeze the assets of Russian bank Sberbank and add several people and entities to its blacklist.

The measures also unblock assets at Russian banks linked to trade in food and fertiliser in an effort to respond to Moscow’s allegations that the sanctions are causing a food crisis.

This was a “commitment that sanctions won’t endanger the food and energy security around the world,” the Czech government said.

SOURCE: AL JAZEERA
 
Waweke vikwazo ila mrusi katulia winter ikija wasije afrika kutupigia kelele
Dah
JamiiForums40746739.jpg
 
Ndio taifa linalotegemewa kuwa super power? Alafu unawekewa vikwazo aisee Putin bado safar unayo ya kuirudisha USSSR ,siyo leo had kesho unajichosha tuu Russia ilishapotea kwenye usuper power ,mtaaalamu xxxxchinaaas ndio wanabeba kijiti cha marekani beliv me
 
Subiri Matokeo ya hiyo package ya 7 ya sanctions,Putin anawachora tu!Ikifika winter anakata gas Kwa nchi zilizoiwekea sanctions na hapo Sasa inakuwa nipe nikupe!
So far, package zote 6 za sanctions zimebackfire!
 
Haya baba winter siyo mbali
 
Ndio taifa linalotegemewa kuwa super power? Alafu unawekewa vikwazo aisee Putin bado safar unayo ya kuirudisha USSSR ,siyo leo had kesho unajichosha tuu Russia ilishapotea kwenye usuper power ,mtaaalamu xxxxchinaaas ndio wanabeba kijiti cha marekani beliv me
US kudondoka huwa mnaona kitu cha kawaida eh? China kumfikia US unafikiri ni ndani ya miaka 30 au 40 ijayo?
 
Ndio taifa linalotegemewa kuwa super power? Alafu unawekewa vikwazo aisee Putin bado safar unayo ya kuirudisha USSSR ,siyo leo had kesho unajichosha tuu Russia ilishapotea kwenye usuper power ,mtaaalamu xxxxchinaaas ndio wanabeba kijiti cha marekani beliv me
Unaongea utumbo
 
Hivi Boris Johnson na pacha wake wa Italy walikwenda wapi vile
 
EU ni wehu sana, last time vikwazo vyao vilifanya currency ya Russia ikawa the best perfoming currency duniani tofauti na matarajio yao kwamba ingeporomoka.
 
Back
Top Bottom