Umoja wa Ulaya waidhinisha awamu ya 7 ya Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi

Umoja wa Ulaya waidhinisha awamu ya 7 ya Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi

EU ni wehu sana, last time vikwazo vyao vilifanya currency ya Russia ikawa the best perfoming currency duniani tofauti na matarajio yao kwamba ingeporomoka.
FB_IMG_1658420653945.jpg

Hawakumuelewa alimaanisha nini hapa
Pia Walikosea hesabu zao sasa wamekaa mezani wanajiribu tena .
 
Kumbe hadi dhahabu bado ana supply? Kweli Russia is fire of dreaming far! Yaani EU Wana kibarua kigumu sana, gas ni ya Urusi, petrol/diesel ni y Urusi, makaa ya mawe ni ya Urusi, mbolea ni ya Urusi Kwa kifupi Kila wanachotumia kinatoka Urusi kweli Urusi baba lao
 
Back
Top Bottom