Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.