Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Let us wait and seeKatika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.
Wamwambie pia ufaransa aache kumpa siraha huyo kengeKatika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.
Mwizi hawezi kumtoa mwzi mwenzake.....hivi mnataka tuseme kila kitu?Bora jumuiya za kimataifa ziingilie maana SADC na nchi zake washirika hawana mabavu yeyote they are just toothless
Thubutu,Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.
Wamepiga jumla jumla tu kama AU tuMbona hawajatoa mkwara kwamba wasipoondoka itakuwaje?
Ulaya ipi? Gongolamboto ama kwa kwa MtogoleKatika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.
HApo picha itanoga wasipoondoka sasaMbona hawajatoa mkwara kwamba wasipoondoka itakuwaje?
Kenge yupi m23 Au tishe?Wamwambie pia ufaransa aache kumpa siraha huyo kenge
KagameKenge yupi m23 Au tishe?
Halafu madini apeleke wapi 😂Kagame