Pre GE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa wapinga maandamano ya CHADEMA. Wanataka kutuharibia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Pre GE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa wapinga maandamano ya CHADEMA. Wanataka kutuharibia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka huuKatibu Mkuu wa DP Abdul Mluya ndiye Mwenyekiti wa umoja wa vyama hivyo



Pia soma
 
Vyama Gani Kuna Tatizo Lolote Popote
Watu Watekwe Wauwawe Ama Iweje Tanzania
 
20240916_052739.jpg
 
KUTEKWA KWA VIONGOZI WA VYAMA NI ISHARA DHABITI KWAMBA HAWANA INTELLIGENCIA.SASA WAKIPEWA NCHI WATATUMIA USALAMA GANI WA TAIFA ?
 
Hizi njaa hizi wanaume wazima na vipara vyao mnatumikishwa na Makalla kuja kutoa utumbo hapa.
 
Mara ya kwanza walinunuliwa Suti mpya kila mmoja, Safari hii wamenunuliwa nini?
mnatia aibu na maandamano yen yasiyofanikiwa hata mkiachwa hakuna lolote la maana mnapata tuambie yaliyopita mlipata faida gani? haki haiombwi siyo kwa matembezi kama ya mshikamano fanyeni kama kenya kama mnaweza muone mnavyo nyukwa
 
KUTEKWA KWA VIONGOZI WA VYAMA NI ISHARA DHABITI KWAMBA HAWANA INTELLIGENCIA.SASA WAKIPEWA NCHI WATATUMIA USALAMA GANI WA TAIFA ?​
Kwa hiyo CDM wangekuwa na intelligencia ya kuwatambua usalama waliomteka Kibao? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom