S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Uwezo wao wa kuchuja mambo ni kama ule wa a e i o u... sijui shule gani hawa watu walipitia..Hivi tangu lini Raisi huwa hapingwi? ni wapi maandamano maana yake ni vurugu? hizo Vurugu zinafanywa na nani ? Na ni nani mwenye jukumu ka kuhakiskisha Vurugu hazipo? na huo utii ni utii wa namna gani, watu wanakufa halafu utii? really? give me a break - tafadharini- uhai wa mtu ni muhimu sana hata katika maandiko matakatifu... " Damu ya ndugu yako inanililia, yuko wapi"? Ghadhabu zake Muumba ni kubwa, acheni kumchokoza hapo kwenye kiti chake cha Enzi kabla hajawashukia kama mwewe...Muogopeni basi...Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka huuKatibu Mkuu wa DP Abdul Mluya ndiye Mwenyekiti wa umoja wa vyama hivyo
View attachment 3098587
Pia soma
- Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
- Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake
- Kuelekea 2025 - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu