Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao

Una uhakika maswali yalikuwa n multiple choices?
Na kingine we jamaa, mitihani ya kuchagua ya utumishi wanaitunga kizembe sana hata usimamizi niwakizembe sana ila hata wao wanajisemea mkiangaliziana mtajijua a anaenda wew unabaki, pia wanaitunga kwa format inayowarahisishia kumaki, hata hivyo naelewa lengo la interview ni kutaka kumlable mtu anahatia yakufeli, ukitaka kujua hilo miaka 10 ijayo utakuta walimu mashoga, walawiti, manabii tito humo humo, wezi, wapiga wanafunzi mpka kufa, hivyo interview haikupi mtu sahihi kinachokupa mtu sahihi nikuanzia grassroot.
 
Ulinzi upi sasa kwa hii gavoo,wa Askari wa hiii gavoo si wale wale tuuu
 
Mfumo umeisha Anza kazi
 

Attachments

  • Screenshot_20250225-001423.png
    421.2 KB · Views: 3
Tatizo kwa tanzania wasomi wetu hawajitambui,wapo kipesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…