90% ya mitihani ya utumishi ni multiple choices Afya yalikuwa maswali sijui 40, Ualimu 25.Una uhakika maswali yalikuwa n multiple choices?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
90% ya mitihani ya utumishi ni multiple choices Afya yalikuwa maswali sijui 40, Ualimu 25.Una uhakika maswali yalikuwa n multiple choices?
Na kingine we jamaa, mitihani ya kuchagua ya utumishi wanaitunga kizembe sana hata usimamizi niwakizembe sana ila hata wao wanajisemea mkiangaliziana mtajijua a anaenda wew unabaki, pia wanaitunga kwa format inayowarahisishia kumaki, hata hivyo naelewa lengo la interview ni kutaka kumlable mtu anahatia yakufeli, ukitaka kujua hilo miaka 10 ijayo utakuta walimu mashoga, walawiti, manabii tito humo humo, wezi, wapiga wanafunzi mpka kufa, hivyo interview haikupi mtu sahihi kinachokupa mtu sahihi nikuanzia grassroot.Una uhakika maswali yalikuwa n multiple choices?
🚮🚮🚮Huu ni utoto
Walimu hawajielewiHuu ni utoto