Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umetangaza kuwa uko tayari kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili ya majadiliano kuhusu ajira za walimu nchini. Hata hivyo, NETO imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha usalama wa viongozi wake kufuatia vitisho wanavyodai kupokea kupitia simu na jumbe mbalimbali.

Chama ca Walimu Wasio na Ajira (NETO) kimesema kimepokea wito wa Waziri George Simbachawene wa kufanya mazungumzo kuhusu usaili wa walimu uliofanyika kati ya Januari 14 na Februari 24, 2025, lakini kimeomba kuhakikisha kunakuwa na ulinzi wa kutosha kwa washiriki wa mkutano huo.

Katibu Mkuu wa NETO, Daniel Edigar Mkinga, amesema lengo lao ni kushinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu wasio na kazi na kufanyia kazi mapendekezo yao. Pia, NETO imeomba mazungumzo hayo yahusishe viongozi wa dini na wawakilishi wa mikoa mbalimbali ili kuhakikisha yanafanyika kwa uwazi na amani.

“Lakini kutokana na vitisho tunavyopokea kwenye simu na jumbe mbalimbali zinazozidi kutupa hofu juu ya usalama wetu, tunaomba kuhakikishiwa ulinzi na usalama wetu katika mkutano huo”, imeelezwa katika barua hiyo.

Mara baada ya mkutano huo, viongozi wa NETO wanatarajia kwenda kuwaeleza walimu wenzao kuhusu maazimio ya mazungumzo hayo, wakibeba matumaini mapya kwa mustakabali wa ajira zao.

walimu neto.png
 
Huu ni utoto
 
Hilo kundi la waalimu wasio kua na ajira ni political threat kubwa kwa ccm, wakiamua kuhamasisha raia impact yake ni kubwa kuna haja kubwa ya kuwasikiliza na kuwagawanya haraka wasiwe na umoja.
 
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umetangaza kuwa uko tayari kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili ya majadiliano kuhusu ajira za walimu nchini. Hata hivyo, NETO imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha usalama wa viongozi wake kufuatia vitisho wanavyodai kupokea kupitia simu na jumbe mbalimbali.

Chama ca Walimu Wasio na Ajira (NETO) kimesema kimepokea wito wa Waziri George Simbachawene wa kufanya mazungumzo kuhusu usaili wa walimu uliofanyika kati ya Januari 14 na Februari 24, 2025, lakini kimeomba kuhakikisha kunakuwa na ulinzi wa kutosha kwa washiriki wa mkutano huo.

Katibu Mkuu wa NETO, Daniel Edigar Mkinga, amesema lengo lao ni kushinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu wasio na kazi na kufanyia kazi mapendekezo yao. Pia, NETO imeomba mazungumzo hayo yahusishe viongozi wa dini na wawakilishi wa mikoa mbalimbali ili kuhakikisha yanafanyika kwa uwazi na amani.

“Lakini kutokana na vitisho tunavyopokea kwenye simu na jumbe mbalimbali zinazozidi kutupa hofu juu ya usalama wetu, tunaomba kuhakikishiwa ulinzi na usalama wetu katika mkutano huo”, imeelezwa katika barua hiyo.

Mara baada ya mkutano huo, viongozi wa NETO wanatarajia kwenda kuwaeleza walimu wenzao kuhusu maazimio ya mazungumzo hayo, wakibeba matumaini mapya kwa mustakabali wa ajira zao.

Wanaogopa ya Ulimboka, hoja ipo wazi wapewe ajira ,sasa kukutana kwa nini tena , wajidiriane nini tena , NETO watayatimba
 
Ila waalimu bhana, yn wanataka ulinzi kutoka kwa mtu huyo huyo wanayemuhitaji 😂 labla wangesema wanakwenda na ulinzi wao wenyewe.
Sasa mtu umefeli usaili afu unataka ulinzi, nani amdhuru mtu anayepata 0% kwenye usaili 😂
 
Naona mabadiliko yapo njiani, vijana sasa hawaogopi. Tulizungumza tangu zamani kwamba ukosefu wa ajira wa makusudi unaosababishwa na serikali ni bomu linalosubiri kulipuka muda wowote. Vyama vya upinzani sasa vije na hoja nzuri mezani vijana wapo tayari maana wanauelewa wa kutosha wa masuala ya maisha, hawana utoto tena ground kwa moto.
 
Hiyo inaweza kua trigger kwa vikundi vingine kuanza kudai hajira pia serikali inabidi ijitokeze mapema kutatua hili tatizo mapema.
 
Ukishakubali kukaa na shetani meza moja kujadili, tayari umeshashindwa hata kabla hamjaanza majadiliano.

Mkikaa na ccm mnaenda kupakwa grease, mlainike.

CCM huwa hawakubali makosa yao, watataka kukushawishi ukubali kilichopo hata kama ni sumu.

Na ukifa bado watasema wewe ndiyo uliitumia vibaya.
 
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umetangaza kuwa uko tayari kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili ya majadiliano kuhusu ajira za walimu nchini. Hata hivyo, NETO imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha usalama wa viongozi wake kufuatia vitisho wanavyodai kupokea kupitia simu na jumbe mbalimbali.

Chama ca Walimu Wasio na Ajira (NETO) kimesema kimepokea wito wa Waziri George Simbachawene wa kufanya mazungumzo kuhusu usaili wa walimu uliofanyika kati ya Januari 14 na Februari 24, 2025, lakini kimeomba kuhakikisha kunakuwa na ulinzi wa kutosha kwa washiriki wa mkutano huo.

Katibu Mkuu wa NETO, Daniel Edigar Mkinga, amesema lengo lao ni kushinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu wasio na kazi na kufanyia kazi mapendekezo yao. Pia, NETO imeomba mazungumzo hayo yahusishe viongozi wa dini na wawakilishi wa mikoa mbalimbali ili kuhakikisha yanafanyika kwa uwazi na amani.

“Lakini kutokana na vitisho tunavyopokea kwenye simu na jumbe mbalimbali zinazozidi kutupa hofu juu ya usalama wetu, tunaomba kuhakikishiwa ulinzi na usalama wetu katika mkutano huo”, imeelezwa katika barua hiyo.

Mara baada ya mkutano huo, viongozi wa NETO wanatarajia kwenda kuwaeleza walimu wenzao kuhusu maazimio ya mazungumzo hayo, wakibeba matumaini mapya kwa mustakabali wa ajira zao.

Kuingia kwwnye shimo usilochimba wewe inahitaji kuwa tayari.
 
Vijana ni wengi sana mtaani tangia 2015 kumbuka hawa wamesomeshwa kwa kuungaunga na wazazi wao serikali Ione umuhimu wa kuwapa ajira at least Kila mwaka zitoke ajira 50000 kingine hao Wana hoja zao zipo mezani ni suala la serikali kutekeleza au kukataa hoja zao
 
Wawe makini sana chama cha majambazi akikawii kutuma marsta
 
Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umetangaza kuwa uko tayari kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili ya majadiliano kuhusu ajira za walimu nchini. Hata hivyo, NETO imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha usalama wa viongozi wake kufuatia vitisho wanavyodai kupokea kupitia simu na jumbe mbalimbali.

Chama ca Walimu Wasio na Ajira (NETO) kimesema kimepokea wito wa Waziri George Simbachawene wa kufanya mazungumzo kuhusu usaili wa walimu uliofanyika kati ya Januari 14 na Februari 24, 2025, lakini kimeomba kuhakikisha kunakuwa na ulinzi wa kutosha kwa washiriki wa mkutano huo.

Katibu Mkuu wa NETO, Daniel Edigar Mkinga, amesema lengo lao ni kushinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu wasio na kazi na kufanyia kazi mapendekezo yao. Pia, NETO imeomba mazungumzo hayo yahusishe viongozi wa dini na wawakilishi wa mikoa mbalimbali ili kuhakikisha yanafanyika kwa uwazi na amani.

“Lakini kutokana na vitisho tunavyopokea kwenye simu na jumbe mbalimbali zinazozidi kutupa hofu juu ya usalama wetu, tunaomba kuhakikishiwa ulinzi na usalama wetu katika mkutano huo”, imeelezwa katika barua hiyo.

Mara baada ya mkutano huo, viongozi wa NETO wanatarajia kwenda kuwaeleza walimu wenzao kuhusu maazimio ya mazungumzo hayo, wakibeba matumaini mapya kwa mustakabali wa ajira zao.

Vipi m

Vipi kada zingine kama madaktari,manesi,.Acheni ubinafsi ninyi walimu
 
Back
Top Bottom