Uchaguzi 2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

TUMI EPAFRA

Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
59
Reaction score
56
Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.-

Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
 
Hao ni viongozi lakini hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli... Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe

Kama walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lakini wakashindwa kuwanunua wananchi ...
 
Inawezekana vipi kama kweli una akili timamu kuamini unaweza kumsemea mtu mzima mwenye akili timamu anaejitambua?!

Haya mambo hayahitaji ushabiki.
 
Hawa ndio wasomi na viongozi wa taasisi ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya kati wanatoa msimamo wao kumuunga mkono mmoja wa wagombea Urais hadharani...

Naamini hii ni taasisi huru isiyopashwa kufungamana na upande wowote baadala yake wanachama wa taasisi kila mtu atachagua yule anayemfaa lakini si kuonyesha msimamo hadharani hii si sawa na ni hatari kwa usalama wa nchi siku za usoni kuwa na taasisi kama hizi na wasomi kama hawa..
 
Inawezekana vipi kama kweli una akili timamu kuamini unaweza kumsemea mtu mzima mwenye akili timamu anaejitambua?!
Unakielewa hata ulichokiandika? Umeangalia video? Unajua kauli ya umoja wowote ni ya nani? OOooh, CHADEMA ni wehu tu na umethibitisha.
 
Ulitaraji wasemeje hao viongozi.. Hata wajumbe nje ya chumba cha uchaguzi waliwaunga mikono na miguu watia nia!
 
Hao ni viongozi lkn hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli .....Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe

Km walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lkn wakashindwa kuwanunua wananchi....
Hata mtoto wake hawezi kumpigia
 
Hawa ndio wasomi na viongozi wa taasisi ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya kati wanatoa msimamo wao kumuunga mkono mmoja wa wagombea Urais hadharani...

Naamini hii ni taasisi huru isiyopashwa kufungamana na upande wowote baadala yake wanachama wa taasisi kila mtu atachagua yule anayemfaa lakini si kuonyesha msimamo hadharani hii si sawa na ni hatari kwa usalama wa nchi siku za usoni kuwa na taasisi kama hizi na wasomi kama hawa..

Kuanzia Bashite alivyoshika urais wa TAHLISO baasi wakaiharibu hii taasis mazima
 
Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.-
View attachment 1532928

Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
Sema wale wa UVCCM
 
Hao ni viongozi lkn hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli .....Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe

Km walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lkn wakashindwa kuwanunua wananchi....
Ccm sasa hivi wanapitia kipindi kigumu sana
 
Back
Top Bottom