Uchaguzi 2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

Uchaguzi 2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

Elimu ya Tanzania!! Hii siyo habari, samaki akiogelea majini,ni kawaida.
 
Wanafunzi wa majalalani!! Tunahitaji viongozi wanafalsafa,wanaoweza kufikiri na kushindana kwa hoja,sio bunduki. R.I.P Mwl JKN
 
WE MSOMI WA WAPI? TAHLISO SIO MTAZAMO WA WANACHUO, HAYO NI MAONI YA VIONGOZI WA TAHLISO SIO WANAFUNZI,
Wataungaje mkono na Juhudi za JPM wakati wakijua wanapomaliza hawatakuwa na ajira? Msilazimishe Mambo. Jahazi limeshazama hili.
Agenda za lisu Ni
1. Ajira kwa WANACHUO wote na watu wa kawaida
2.uhuru wa vyombo vya habari n.k
Nyie jifanyeni kujuà wakati bado hamjaajiriwa
 
Back
Top Bottom