TUMI EPAFRA
Member
- Jul 12, 2020
- 59
- 56
Na wewe unafikiri wote kwenye kikao hicho ni viongozi?Hao ni viongozi lkn hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli .....Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe
Km walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lkn wakashindwa kuwanunua wananchi....
KWani wewe ulijiandikisha ulipata uanachama wa mwaka ghafla? Wehu bwana, akili fupi sana.Kijana ndo una mwezi JF eti?
Mbona jazba..? niliuliza tu ili nijueKWani wewe ulijiandikisha ulipata uanachama wa mwaka ghafla?
Unakielewa hata ulichokiandika? Umeangalia video? Unajua kauli ya umoja wowote ni ya nani? OOooh, CHADEMA ni wehu tu na umethibitisha.Inawezekana vipi kama kweli una akili timamu kuamini unaweza kumsemea mtu mzima mwenye akili timamu anaejitambua?!
Hata mtoto wake hawezi kumpigiaHao ni viongozi lkn hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli .....Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe
Km walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lkn wakashindwa kuwanunua wananchi....
Hawa ndio wasomi na viongozi wa taasisi ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya kati wanatoa msimamo wao kumuunga mkono mmoja wa wagombea Urais hadharani...
Naamini hii ni taasisi huru isiyopashwa kufungamana na upande wowote baadala yake wanachama wa taasisi kila mtu atachagua yule anayemfaa lakini si kuonyesha msimamo hadharani hii si sawa na ni hatari kwa usalama wa nchi siku za usoni kuwa na taasisi kama hizi na wasomi kama hawa..
Sema wale wa UVCCMKuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.-
View attachment 1532928
Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
Ccm sasa hivi wanapitia kipindi kigumu sanaHao ni viongozi lkn hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli .....Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe
Km walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lkn wakashindwa kuwanunua wananchi....
UvccmHuo utakuwa Umoja wa Vijana CCM
Kama ccm mlivyo mataga wa maovuKweli CHADEMA ni ya wehu.