Uchaguzi 2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

Hao ni viongozi lkn hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli .....Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe

Km walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lkn wakashindwa kuwanunua wananchi....
Wewe umejuaje kama hawatanunukiwa?

Ninachojua uchaguzi bado mdi tutajua kama hawajanunuliwa wakati wa kumaliza uchaguzi
 
Hao wanafunzi wamelipwa ili watoe huo upupu ila kimsingi hakuna mwanachuo mwenye akili timamu atamuunga mkono magu.
Nina wadogo angu watatu wapo vyuo tofauti wamenihakikishia kuwa huko chuo hali ya ccm ni ngumu sana
 
Wenye mapenzi mema! My foot!
 
Hao ni viongozi lakini hakuna mwanafunzi anaweza kumpigia kura Magufuli... Msitake kujitekenya na kucheka wenyewe

Kama walivohangaika kununua wabunge na madiwani wa chadema lakini wakashindwa kuwanunua wananchi ...
Watampigia yule bingwa wa maigizo?
 
Lazima wamuunge mkono mh. Maana nasikia hapa juzi wanafunzi 'wameongezewa' boom lao kwa 100%.

Lazima wampende sana mh. Rais
 
Huko vyuoni kuna wanaccm pia. Ndio hao Tahliso
 
Awamu ya kidikteta hakuna jiwe litakalosalia ,kila goti litapigwa.
 

Hii ni aibu, how do you think you can influence free will ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…