WE MSOMI WA WAPI? TAHLISO SIO MTAZAMO WA WANACHUO, HAYO NI MAONI YA VIONGOZI WA TAHLISO SIO WANAFUNZI,
Wataungaje mkono na Juhudi za JPM wakati wakijua wanapomaliza hawatakuwa na ajira? Msilazimishe Mambo. Jahazi limeshazama hili.
Agenda za lisu Ni
1. Ajira kwa WANACHUO wote na watu wa kawaida
2.uhuru wa vyombo vya habari n.k
Nyie jifanyeni kujuà wakati bado hamjaajiriwa