Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hii nimekutana nayo mahali.... Kumbe hawa jamaa sio wa mchezo mchezo mpaka wametengeneza sarafu yao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa,Name:ndege John
Position:Katibu wa UWABATA JF
CARD NO:07
HaahaaUkiingia kwenye servers zetu za citrix mimi ni namba 127
HaahaaKuna hela naisikilizia..
Kauli mbiuHaahaa
Hii kauli huwaga Ni matata sanaa....
Mimi Rhz4567
Nitaomba nafasi ya ukatibu mkuu muenezi na mhamasishaji
Haahaaa,mpaka ID cards tunazo... 😎
Haahaaa,
Aisee ni hatari na nusu.Haahaaa,
Si ipatii picha Iyo fomu itakavyo KUA na vigezo murua....
Haahaa
Uwe na pair Moja ya viatu......