Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #101
Ile kauli ya baby tuna na yakutolea... Naona UWABATA HAINA nafasi... Nilikua nachomekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadi Yako ni ya mwanzoni mwanzoni....Kadi yangu ni namba ngapi mzee?
Waungamishe na hivi vyama UWANJIWA na UWAKUKU.View attachment 1689642
Hii nimekutana nayo mahali.... Kumbe hawa jamaa sio wa mchezo mchezo mpaka wametengeneza sarafu yao...
Dah 🤣🤣, chama kizito hiki 🤣🤣View attachment 1689642
Hii nimekutana nayo mahali.... Kumbe hawa jamaa sio wa mchezo mchezo mpaka wametengeneza sarafu yao...
Nambie kaka 🤒
Karibu chamani mkuu☺️☺️Nambie kaka 🤒
Chama kinazidi kujihimalishaa hadi ngazi ya shina🤓🤓Dah 🤣🤣, chama kizito hiki 🤣🤣
Mimi ndo muanzilishi jombaa🤣🤒Karibu chamani mkuu☺️☺️
Ili kuji linda🤣🤣🤣, Aki washa moto- una Zina🤣Kadi Yako ni ya mwanzoni mwanzoni....
Sikuizi ni mwendo wa kulala na 🔥 extinguisher
Maana si kwa ubahili huu 😄😄
Sawa mkuu founder wa uwabata☺️☺️😊😊Mimi ndo muanzilishi jombaa🤣🤒
Uko sahihi 🤣😁🤒Sawa mkuu founder wa uwabata
Kauli mbiu..Uko sahihi 🤣😁🤒
Mimi Niko Uwabata humu tokea haupo Jf..Mimi ndo muanzilishi jombaa🤣🤒
Tokea siko wapi🙄😆, Nina I'd moja ya 2009 huko🤣🤒Mimi Niko Uwabata humu tokea haupo Jf..