Umoja Wa Wanaume Tunatoa Tamko Hili Kwa Wanawake Woote..!!

Khaaa, Huyo anaeacha hayo amvitu si bure anataka kuhamia kabisaaa sema anashindwa kusema
 
Hahaha..eti chupi kwenye kona ya kitanda...najaribu kuvuta picha wakija wa4 means kila kona itakuwa na chupi yake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahaha utakuta Kona ile Bikini, kona hii Tight, kona ile g string hahahahahah
 
Yaana mtu anakuja kupafanya kwako kama store? aah! hiyo pichu nani afue? au iendelee kutema harufu ghetto?...tuacheni ushirikina wa kifikra wakuu😀😀😀😀
Hahaha kilasiku unakuwa na kazi ya kupulizia Air Freshner tu
 
Hahahaha utakuta Kona ile Bikini, kona hii Tight, kona ile g string hahahahahah
Sasa kuna wale wanaolazimisha kulala...anakuja saa 9 mnaenjoy hadi saa 11..akimaliza kuoga analala ukiamsha haamkiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: irk
Mimi kama kwenda kwa mpenzi wangu lazima nimwachie ata kanga doti moja! Nikija hizo ndo ntakua navaa. Sa kubebe mivitu kila nikienda for sleepover ya nini! Ila hao wa kuacha madude mengine wana yao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha,haaaa...
Mwanamke uliye mvuruga stunter nakupongeza.
Tena ningekujua ningekupa kiroba kimoja,dadek
 
Na wadada sio wote wanaoacha vitu kwa wakaka.
Nainategemea ulimuahidii nini hivi kuna mtu anaacha hivyo vitu akijua haolewiii kama mtu anajua haolewi haachii nakama inawaudhii kwanini msiseme mwambie mbona wa kati unamkaza humwambii baada ya kumvuruga oh wako hivi wako vile mfuate mdada mamboo njo nikukaze keshoo ila sikuoi au sikutoi uone kama utapata wa kuacha hata zivu hapo ndani kwako naukiona mtu hakuambii kitu kinachomkera papo kwa papo ni mwogaa . Unaogopa nini nahakuna anayekulipia kodi au na wewe unataka tu ache ili ukumbukie alikuwepo na hujaoa unamleta mtu kwako ili iweje nahauna mpango naye na kingine huogopi kuleta kila design je magonjwa?
Au unaogopa kulipa gesti au hujiheshimu na hueshimu kwako ?
Huoni unaleta laana kila mtu karibu kwangu karibu kwanguu .
Mtu anadhani anaumuhimu kwako badilikeni kubadili wanawake kama nguo si solution ni kujiheshimu nakuwa makini na maisha kwani mpaka uwe na kumi ndio uoe.
Ndio maana mnachunwa na kuchorwa maana wenyewe hamjui mnatakaa nini eti umoja wa wanaume nilizani mmejikusanya ili mzumgumze maendeleo kumbe huu ujingaa eti hili ndio mmeona la maana [emoji107] [emoji107] zzzzzz
 
Kuna jamaa aliikunjia pedopusha chini ya godoro kwenye Chaga kupoteza ushahidi.
 
Acha kukwapua mataputapu. ...mwanamke anayejiamini hawezi kufanya upuuzi huo...tafuta mwanamke mwenye kwake pia. ..acha kulilia kwa uchaguzi wako mwenyewe wa wanawake wenye inferiority complex. ..
Mjomba mapenzi haryana sheria, ukishapenda hautakuwa na Muda wa kuangalia huko kujiamini
 
Mimi kama kwenda kwa mpenzi wangu lazima nimwachie ata kanga doti moja! Nikija hizo ndo ntakua navaa. Sa kubebe mivitu kila nikienda for sleepover ya nini! Ila hao wa kuacha madude mengine wana yao
Hiyo kanga labda ikae juu ya dari...
 
Reactions: irk
huna lolote kuchepuka tu kunakusumbua uaogopa kubabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…