Umoja Wa Wanaume Tunatoa Tamko Hili Kwa Wanawake Woote..!!

Akijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyi mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
Mkuu huwa wanavizia sana,
yaani anaeza akasubiri umeenda toilet akaificha chini ya godoro
 
Heheheh sasa kwamfano akikuuliza umeiweka wapi utamjibu nini??
Apo ndio inakuwaga mwisho wa mahusiano mkuu. Ainaga kuuliza tena apo unakuwa ushaelewa kwa kiota ulichoingia Kina mwenyewe. Wadada wa kazi sana katika dunia hii ya Leo, maana changamoto ya maisha na muda ina waasiri sana, ndio maana wanafanya ivyo na sio kama wanapenda
 
Mkuu huwa wanavizia sana,
yaani anaeza akasubiri umeenda toilet akaificha chini ya godoro
Haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23]
 
Acheni unafiki nyie! Mnashindwa nini kuwaambia live kuwa wasiache makorokoro yao? Hao wanaoacha makorokoro kwenu hawapo hapa. Kawaambieni live mnapokuwa nao.
 
Apo ndio inakuwaga mwisho wa mahusiano mkuu. Ainaga kuuliza tena apo unakuwa ushaelewa kwa kiota ulichoingia Kina mwenyewe. Wadada wa kazi sana katika dunia hii ya Leo, maana changamoto ya maisha na muda ina waasiri sana, ndio maana wanafanya ivyo na sio kama wanapenda
Dah, mpaka nimewaone huruma,
kumbe sio kama wanapenda?
 
Acheni unafiki nyie! Mnashindwa nini kuwaambia live kuwa wasiache makorokoro yao? Hao wanaoacha makorokoro kwenu hawapo hapa. Kawaambieni live mnapokuwa nao.
Hii OMO imethibitishwa na tbs
 
Acheni unafiki nyie! Mnashindwa nini kuwaambia live kuwa wasiache makorokoro yao? Hao wanaoacha makorokoro kwenu hawapo hapa. Kawaambieni live mnapokuwa nao.

Wapo hapa hapa kama huamini subir...
 
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next
time unaacha pichu, tena nyuma ya mlango... next time
unaacha hereni.. Next time gagulo... Hivi hii tabia mmepewa na
mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo
as if hao watu
wana kabati special ku-accomodate
miguo yako kwao... Eti madai yenu mnaacha alama ili
incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme
hili, wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi
wanunue mabegi maalum kuficha madude
mnayojifanya mmeyasahau, kumbe makusudi
tu, waone kwanza!, mwishowe haya magheto
yanakuwa kama ya muuza mtumba, Vibanio, pichu,pajama, khanga, lipshine ,mawigi,
mwishowe
rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga
sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls'
items, SIO HESHIMA....njoo salimia, beba
mikanga yako nenda nayo kwenu, sisi sio wauza
urembo!
Kijana Umenichekesha kweli na kunikumbusha mbali enzi hizo miaka za ujana 2000.
Niko getho ilala nikawa na kibinti kama ulivyoeleza kila akija anaacha kitu, sasa getho lenyewe chumba kimoja wacha siku mtarajiwa alikuja ghafla getho. Huwezi amini nilichukua zile nguo zilizoachwa na kibinti pakuficha hamna nikafungua desktop komputer nikazificha huko ndani kuua soo..that was my last and genious idea and it saved me..Yaani we acha tu..ha ha ha ha
 
Hahaaaaa STUNTER utawaua hawa dada zetu...waaache wapumzike kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mimi jana nimezitupa aseee mara night dress aaaaahhh sitaki ujinga mimi
Ila ku..ma mnataka??
 
cha kubeba pichu ambayo haijakauka ni nini? wakati naweza kuiacha hapo ikauke
 
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next
time unaacha pichu, tena nyuma ya mlango... next time
unaacha hereni.. Next time gagulo... Hivi hii tabia mmepewa na
mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo
as if hao watu
wana kabati special ku-accomodate
miguo yako kwao... Eti madai yenu mnaacha alama ili
incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme
hili, wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi
wanunue mabegi maalum kuficha madude
mnayojifanya mmeyasahau, kumbe makusudi
tu, waone kwanza!, mwishowe haya magheto
yanakuwa kama ya muuza mtumba, Vibanio, pichu,pajama, khanga, lipshine ,mawigi,
mwishowe
rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga
sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls'
items, SIO HESHIMA....njoo salimia, beba
mikanga yako nenda nayo kwenu, sisi sio wauza
urembo!
Mwisho linageuka kuwa geto la mwanamke
 
Kijana Umenichekesha kweli na kunikumbusha mbali enzi hizo miaka za ujana 2000.
Niko getho ilala nikawa na kibinti kama ulivyoeleza kila akija anaacha kitu, sasa getho lenyewe chumba kimoja wacha siku mtarajiwa alikuja ghafla getho. Huwezi amini nilichukua zile nguo zilizoachwa na kibinti pakuficha hamna nikafungua desktop komputer nikazificha huko ndani kuua soo..that was my last and genious idea and it saved me..Yaani we acha tu..ha ha ha ha
Hahahah, sipati picha kwamfano angetaka kuiwasha PC,
au ndo ulijitolea muhanga hata ingeharibika??
bora punda afe lakini mzigo ufike
 
Back
Top Bottom