Umoja Wa Wanaume Tunatoa Tamko Hili Kwa Wanawake Woote..!!

Umoja Wa Wanaume Tunatoa Tamko Hili Kwa Wanawake Woote..!!

Sasa kuna wale wanaolazimisha kulala...anakuja saa 9 mnaenjoy hadi saa 11..akimaliza kuoga analala ukiamsha haamkiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, tena hao ndio kiboko yao, yani usiombe wakukute
 
Na wadada sio wote wanaoacha vitu kwa wakaka.
Nainategemea ulimuahidii nini hivi kuna mtu anaacha hivyo vitu akijua haolewiii kama mtu anajua haolewi haachii nakama inawaudhii kwanini msiseme mwambie mbona wa kati unamkaza humwambii baada ya kumvuruga oh wako hivi wako vile mfuate mdada mamboo njo nikukaze keshoo ila sikuoi au sikutoi uone kama utapata wa kuacha hata zivu hapo ndani kwako naukiona mtu hakuambii kitu kinachomkera papo kwa papo ni mwogaa . Unaogopa nini nahakuna anayekulipia kodi au na wewe unataka tu ache ili ukumbukie alikuwepo na hujaoa unamleta mtu kwako ili iweje nahauna mpango naye na kingine huogopi kuleta kila design je magonjwa?
Au unaogopa kulipa gesti au hujiheshimu na hueshimu kwako ?
Huoni unaleta laana kila mtu karibu kwangu karibu kwanguu .
Mtu anadhani anaumuhimu kwako badilikeni kubadili wanawake kama nguo si solution ni kujiheshimu nakuwa makini na maisha kwani mpaka uwe na kumi ndio uoe.
Ndio maana mnachunwa na kuchorwa maana wenyewe hamjui mnatakaa nini eti umoja wa wanaume nilizani mmejikusanya ili mzumgumze maendeleo kumbe huu ujingaa eti hili ndio mmeona la maana [emoji107] [emoji107] zzzzzz
Wewe inaelekea ndio tabia yako hiyo kuacha acha vitu bila sababu ya msingi,
 
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next
time unaacha pichu, tena nyuma ya mlango... next time
unaacha hereni.. Next time gagulo... Hivi hii tabia mmepewa na
mganga yuleyule au ni vipi?Unaacha vikorombwezo
as if hao watu
wana kabati special ku-accomodate
miguo yako kwao... Eti madai yenu mnaacha alama ili
incase akiingia mtu mwingine akute...Nimetumwa niseme
hili, wamechoka kuficha vifaa vyenu maana inabidi
wanunue mabegi maalum kuficha madude
mnayojifanya mmeyasahau, kumbe makusudi
tu, waone kwanza!, mwishowe haya magheto
yanakuwa kama ya muuza mtumba, Vibanio, pichu,pajama, khanga, lipshine ,mawigi,
mwishowe
rafiki zetu wanaweza kudhani tumekuwa mashoga
sasa....Au wazazi wetu waje ghafla wakute Girls'
items, SIO HESHIMA....njoo salimia, beba
mikanga yako nenda nayo kwenu, sisi sio wauza
urembo!
Hahahahahahahaha[emoji23] nmecheka ad nmeliaa uwwiiiii!!!stunter mekupenda bureeeee uctoe ata sh dala[emoji7]...
 
lakini wanakuokoa na janga la uzinzi tulia na demu mmoja mbona utafaidi tu piga style zote
 
Akijaribu kuacha ata ganda la vocha iliyotumika, simwachagi hivi hivi.Lazima arudi na kila alichokuja nacho....sasa nyie mnaoachiwa hadi pichu mna roho ngumu sana...kwangu hata unywele haubaki!
Umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom