[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiyo ni warning for boys, but we gentlemen still smoking and it wont affect anything likewise the doctor say to his/her patient "too much drink is harmful" while he/she goes to work drunk[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hv Kumbe Cc Ma Star Tunafatiliwa Eeh,,
Zero IQ niamin ninachokwambia kiba 4real namjua mwanzo mwisho[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kiba wa juzi kati tu akizidi sana 33
ETI ALIDANGANYA ALIKUA NA 16Mkuu umefatilia point zangu pale nilipomdertermine umri wake hawezi kuwa kwenye 26 ata kwa dawa kwa sababu kama alishiriki na kushinda miss Tanzania basi lazima alikuwa na miaka kuanzia 18 na hiyo ilikuwa mwaka 2006 .
Sasa kuanzia mwaka 2006 mpka leo ni miaka mingapi na kujumlisha hiyo ya Ushiriki ndio utapata umri wake..
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu mkuu
Haswaaaa wala ujakoseaKwa hiyo kiba ni muhenga kwa sasa walahi mastar wabongo wote soon watakuwa mababu na mabibi
Ndo hvo mkuu hawa ni wasanii so hata baadhi ya mambo yao binafsi huwa wanafanya kisanii sanii tu. Awatakagi kuishi katika ukweli wao ulio halisiSawa mku nashangaa kuna wengine nilianza kuwasikia nikiwa ypung ata shule sijaanza leo nimemaliza mpaka chuo lakini wakiulizwa umri bado nalingana Nao it's a fun.
I think atakuwa na 44.....50 Kat ya hapoKweli vipi huyu wa kuitwa Chid benz yeye ana Ngapi?
Amin mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaah mkuu bhana