Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Anakaribia 40.... Ni wa 1980!
!
Yuko kwenye late forty's au early fifty's
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakaribia 40.... Ni wa 1980!
!
Yuko kwenye late forty's au early fifty's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo alishapata msamaha wa rais asiongezeke miaka
Monalisa huyu nae Umri umemtupa mkono nafikiri atakua kwenye 37
Hahahahahhahahahahahahahahahahaha jmnn nyieee hahahah...kumbe nae alibahatika kwny Seya tutoke wotee lolHuyo alishapata msamaha wa rais asiongezeke miaka
Sasa miaka 37 umri unakuwa umemtupa mkono? Kweli nazidi kuamini hili jukwaa limejaa vitoto vya miaka 12
Huwa nashindwa kuelewa jitu zima kusimama kwa hoja za mange.Kuna vitu viko waz kabisa lkn mtu atakuambia ooh mange alisema
Jamani kwa tanzania hii unataka kuniambia kwamba mtu hawezi kuongeza umri wake akaparticipate kwenye miss tanzania tena enzihizi.. what i heard is alikuwa younger and akaongeza umri wake ili afanye hayo mashindano.. sasa mange alisema hivyo na ndiyo aliyomleta wema kwenye game.. sijaona a reason for her to lie.. wema awe 30 40 i dont care nachosema mimi nikwamba pia wema anazeeka haraka yani kama ugonjwa na ndiyo mahana wengi wanamuona mkubwa kuliko hata umri wake...
Mkuu kumbuka kuna Carbon 14Jamani kwa tanzania hii unataka kuniambia kwamba mtu hawezi kuongeza umri wake akaparticipate kwenye miss tanzania tena enzihizi.. what i heard is alikuwa younger and akaongeza umri wake ili afanye hayo mashindano.. sasa mange alisema hivyo na ndiyo aliyomleta wema kwenye game.. sijaona a reason for her to lie.. wema awe 30 40 i dont care nachosema mimi nikwamba pia wema anazeeka haraka yani kama ugonjwa na ndiyo mahana wengi wanamuona mkubwa kuliko hata umri wake...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dully Sykes 53
Enzi hizo*[/QUOTE
Wema ana miaka Tisa alisoma na mtoto wa dadangu naye ana miaka Tisa ha ha ha
Aliposhinda miss tz alikuwa ana miaka mingapi? 16 eh?Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Kwa hyo asahau kupata mtoto?Mkuu utakuwa umemuonea 2003 mpaka sasa ni miaka 14 ukijumlisha na 25 unoata miaka 39
Kwa hiyo umri elekezi wa dada yetu lady jay dee ni miaka 39.
Miaka 3 zaidi kufikia monopouse [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Le mbululaz anamiaka mingapi? Maana namuona hapa dom mkutanoni uvccm[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu una utani na limumba una milioni 7 kweli...?
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu muonee basi ata huruma kwa hiyo inawezekana ata papuchi anaipiga make up ili isionekane kama imezeeka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Avoid cigarate ,Smoking is dangerous for your Health[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hiyo ni warning for boys, but we gentlemen still smoking and it wont affect anything likewise the doctor say to his/her patient "too much drink is harmful" while he/she goes to work drunk[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Avoid cigarate ,Smoking is dangerous for your Health