Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Huwa nashindwa kuelewa jitu zima kusimama kwa hoja za mange.Kuna vitu viko waz kabisa lkn mtu atakuambia ooh mange alisema

Jamani kwa tanzania hii unataka kuniambia kwamba mtu hawezi kuongeza umri wake akaparticipate kwenye miss tanzania tena enzihizi.. what i heard is alikuwa younger and akaongeza umri wake ili afanye hayo mashindano.. sasa mange alisema hivyo na ndiyo aliyomleta wema kwenye game.. sijaona a reason for her to lie.. wema awe 30 40 i dont care nachosema mimi nikwamba pia wema anazeeka haraka yani kama ugonjwa na ndiyo mahana wengi wanamuona mkubwa kuliko hata umri wake...
 
Enzi hizo*
 
Mkuu kumbuka kuna Carbon 14
 
Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Aliposhinda miss tz alikuwa ana miaka mingapi? 16 eh?
 
Mkuu utakuwa umemuonea 2003 mpaka sasa ni miaka 14 ukijumlisha na 25 unoata miaka 39

Kwa hiyo umri elekezi wa dada yetu lady jay dee ni miaka 39.

Miaka 3 zaidi kufikia monopouse [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa hyo asahau kupata mtoto?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu una utani na limumba una milioni 7 kweli...?
Le mbululaz anamiaka mingapi? Maana namuona hapa dom mkutanoni uvccm
 
Mi sitaki kuwa Snitch mkuu msome hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
b0f5d740bd8474a9f7459d379d0bf51a.jpg
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu muonee basi ata huruma kwa hiyo inawezekana ata papuchi anaipiga make up ili isionekane kama imezeeka
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Avoid cigarate ,Smoking is dangerous for your Health
 
Hiyo ni warning for boys, but we gentlemen still smoking and it wont affect anything likewise the doctor say to his/her patient "too much drink is harmful" while he/she goes to work drunk[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom