Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Hiyo ni warning for boys, but we gentlemen still smoking and it wont affect anything likewise the doctor say to his/her patient "too much drink is harmful" while he/she goes to work drunk[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu mkuu
 
Ali kiba 43 ila ukimuuliza hatakwambia anamiaka 28
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kiba wa juzi kati tu akizidi sana 33
Zero IQ niamin ninachokwambia kiba 4real namjua mwanzo mwisho
 
Mkuu umefatilia point zangu pale nilipomdertermine umri wake hawezi kuwa kwenye 26 ata kwa dawa kwa sababu kama alishiriki na kushinda miss Tanzania basi lazima alikuwa na miaka kuanzia 18 na hiyo ilikuwa mwaka 2006 .

Sasa kuanzia mwaka 2006 mpka leo ni miaka mingapi na kujumlisha hiyo ya Ushiriki ndio utapata umri wake..
ETI ALIDANGANYA ALIKUA NA 16
 
Zero IQ niamin ninachokwambia kiba 4real namjua mwanzo mwisho
Kwa hiyo kiba ni muhenga kwa sasa walahi mastar wabongo wote soon watakuwa mababu na mabibi
 
Sawa mku nashangaa kuna wengine nilianza kuwasikia nikiwa ypung ata shule sijaanza leo nimemaliza mpaka chuo lakini wakiulizwa umri bado nalingana Nao it's a fun.
Ndo hvo mkuu hawa ni wasanii so hata baadhi ya mambo yao binafsi huwa wanafanya kisanii sanii tu. Awatakagi kuishi katika ukweli wao ulio halisi
 
Ndo hvo mkuu hawa ni wasanii so hata baadhi ya mambo yao binafsi huwa wanafanya kisanii sanii tu. Awatakagi kuishi katika ukweli wao ulio halisi
Kweli vipi huyu wa kuitwa Chid benz yeye ana Ngapi?
 
hivi kwa nini watz hatuwi-proud of na umri ? tuanze na wasanii wetu, hawapendi kuonekana umri umewatupa...
wema 30plus
monalisa 32plus
proff j 37plus
temba 35plus
ay 34plus
anty ezekiel 32plus
jide 37plus

bora wachezaji kina msuva wanatudanganya wana miaka 24, lakini siwalaum kwa sababu mpira ndio ajira zao kwa hiyo wanaongopa umri ili career zao ziendelee mda mrefu, ukizingatia miili yetu ya kiafrika haizeeki ovyo kama ngozi nyeupe, inakomaa tu na kukauka....
 
Kwa Wema mtoa mada umekosea hajagusa umri huo maana kipindi anashiriki kuna tuhuma kitaan kuwa alikuwa hajafika 18 bado
 
Back
Top Bottom