Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Acha basi hata kama sijui hesabu kwa hiyo ndio imewezekana kupishana mwaka mmoja mtu wa 94 na 92? [emoji13]
Ngoja nikupe soma
Kutoka June 1992 hadi April 1994
Ni mwaka 1 na miezi 10
Sio miaka 2
Anza na hiyo kwanza [emoji23][emoji23]
Umeelewa???
Kwahiyo
Lulu ana ( 26yrs and 2 days) as today April 18
Mimi Mars ana 27yrs and 10 months



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka tarehe za hao waliozaliwa 88 na bado wana miaka 31.
.
Mathalani Mimi mars umesema ana miaka 27 at first ulipaswa kusema ana 28 japo kiuhalisia ana miaka 27 na siku 322 ili kumuwekea gape la miaka miwili na Elizabeth
Umeshinda mkuu
Kumbe shida yako watofautiane miaka 2 [emoji23]
Subiri hadi June 21(Mimi Mars' birthday) , itatimia miaka 2
[emoji23][emoji23][emoji23]
NB
Ila mwaka 1 na miezi 10 sio miaka miwili



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…