Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Hahahaa honest mistake Acha nirekebishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millard Ayo ana 34,,Mwaka 2013 kwenye jarida la FEMA alisema ana miaka27,,kwahyo toka 2013 hadi 2020 ni miaka 7,,So 27+7=34
 
Diva wa clouds

Ni wa kitambo saana nakumbuka tangunmwaka 2005 nipo advance namsikia anatangaza kipindi cha wakubwa lets say alikuwa na miaka 20 cos asingetangaza akiwa na umri chini ya miaka 20 kipindi chenyewe cha malove

So 2005 akiwa na miaka 20 + 15 (2020) ana miaka 35+

But yeye anadai ana miaka 30 so its means kipindi anaanza kutangaza kipindi cha usiku alikuwa na miaka 15 wonders shall never end

Maana alianza tangaza 2005 akili kumukwicha..huenda Diva akawa ni kigagula wa miaka 37 atakuwa alinza tangaza akiwa na miaka 22 hiyo mwaka 2005

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…