Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Unajua Kiongozi mimi sijui hesabu ila wewe hujui mara mbili yangu [emoji13][emoji13]
Mtu anayefikisha miaka 28 mwezi june kweli anaweza akawa na miaka 27 na miezi nane?
Kwamba kabakisha miezi miwili tu ifikie miezi 12[emoji13][emoji13] hahaha haki ya bibi.

.
Kuanzia kesho hadi tarehe 30 mwezi june ni siku 73 tu.
Mimi mars umesema kazaliwa june hukutaja tarehe let's assume ni 30 june.
.
365-73=292
73-30=43
43-30=13
Kwa hiyo ni miezi miwili na siku 13
So Mimi atakuwa na 27 na siku 292 amebakisha miezi miwili na siku 13 tu.
Nisamehe kwa hili [emoji13][emoji13][emoji13]
Hahahaa honest mistake Acha nirekebishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millard Ayo ana 34,,Mwaka 2013 kwenye jarida la FEMA alisema ana miaka27,,kwahyo toka 2013 hadi 2020 ni miaka 7,,So 27+7=34
 
Diva wa clouds

Ni wa kitambo saana nakumbuka tangunmwaka 2005 nipo advance namsikia anatangaza kipindi cha wakubwa lets say alikuwa na miaka 20 cos asingetangaza akiwa na umri chini ya miaka 20 kipindi chenyewe cha malove

So 2005 akiwa na miaka 20 + 15 (2020) ana miaka 35+

But yeye anadai ana miaka 30 so its means kipindi anaanza kutangaza kipindi cha usiku alikuwa na miaka 15 wonders shall never end

Maana alianza tangaza 2005 akili kumukwicha..huenda Diva akawa ni kigagula wa miaka 37 atakuwa alinza tangaza akiwa na miaka 22 hiyo mwaka 2005

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom