Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

wanapunguza tu miaka ila kifo hakidanganyi
Kwani ulisikia kifo kinajali umri wa mtu?
Wanaokufa kwa uzee ni wateule pekee. Tena vifo vyao havinaga usumbufu.
Mtu anaishi miaka mia na kitu, lakini haugui yale magonjwa makubwamakubwa, anakuja kufia usingizini.
Idadi ya watu walio wengi vifo vyao havitokani na umri.
 
Mkuu ni kweli asee ana miaka 24
 
Umeonaeeh mkuu
 
Watanzania banah, hivi hamna vitu vya kufanya... Nimeona huu uzi nikasema lazima nitie neno, watu mngekua busy msingekua busy kuleta ujinga huu... Kweli wewe zero iQ...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mkuu bwana siyo kila muda wa kufanya kazi kuna muda kula ,kwende chooni ,kuoga pia ata muda wa kufurahi siyo kwa sababu ya kazi eti ushindwe kufanya mambo mengine

Wewe mbona umepoteza muda wako kusoma hapa na kureply hiyo nonsense coment yako si muda huo ungeutumia kufanya kazi.

....!
 
Aliyetisha ni Museven tu..
Ana negotiate umri na baada ya vikao vya muda murefu ikagundulika umri wake umepungua
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huyu ndio kaua kabisa eti aliongezewa miaka
 
Uchebe anaishi nchi gani na mimi nipo nchi gani? Usinisome kwa woga.

Au Zero IQ yako inakusumbua?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mdogo wangu kwa 3years....mimi nina umri wa kustaafu kwa hiyari ukitoa michache jumlisha 3.
Kwa hiyo wewe una 53 na lady jay dee ana 50
Du
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…