Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kwani ulisikia kifo kinajali umri wa mtu?wanapunguza tu miaka ila kifo hakidanganyi
Wanaokufa kwa uzee ni wateule pekee. Tena vifo vyao havinaga usumbufu.
Mtu anaishi miaka mia na kitu, lakini haugui yale magonjwa makubwamakubwa, anakuja kufia usingizini.
Idadi ya watu walio wengi vifo vyao havitokani na umri.