Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahah, we jamaa kweli umemchoka!Dully Sykes 53
Sio kweli amekektwa yule kukojoa ni kazi na ndoto.Habash kasema alimkojoza 15 yrs
Ni joke au kweli mkuuJuma Nature kama hajasheherekea miaka 56 na Tanganyika basi atakuwa na 54 hivi.
Ukweli na Utani Vyote vimo.Ni joke au kweli mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sina utani na Rika za Malikia Elizabeth mkuu tuwaheshimu sana Wazee wetu.Umeua mkuu na vipi kuhusu Saida karoli.
Hahhaahaaah dah hapanaDully Sykes 53
Dah hiyo ngumu kumesa jamaa wa long time kichizi ila sidhani kama kafika hukoMkuu hauamini au?
Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Ay anakaribia 50
Mange kazuia watu kufikri kabisa. Watu wanagopa hata kuwa acurate kwa fikra zao hadi wadokoe kwa mange. Tunasubiri afikiri ili tufikiri...... Hahahahhaaaaaa