Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Kwanza king kiba nae tusimsahau nae ni mkongwe sana anakaribia kwenye 35 to 40 yule maana siyo kwa kitambo kile cha sindelela
 
naomba kuuliza;hivi mzee-kijana Polepole nae ana hesabika ni celebrity?
 
naomba kuuliza;hivi mzee-kijana Polepole nae ana hesabika ni celebrity?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu una utani na limumba una milioni 7 kweli...?
 
Jay moo yeye anakaribia kupata mjukuu umri wake elekezi ni miaka 47
 
Unaweza ukazidi kidooogo 😀
Mkuu bado unataka kumuongezea miaka tu ina maana 40 haimtoshi.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Acha uongo ni classmate wangu shule ya msingi akiwa na mingi 33
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Una mpunguzia miaka eeh mkuu
 
Afande sele nawe unajihesabu star
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umenikumbusha mkuu kuna Huyu anaeitwa Dito zamani alikuwa anaitwa Dogo dito cjui sasa hivi kafikisha ngapi ila kama sikosei yupo kwenye 40
 
Q Chilaa toka namfahamu kwenye nyimbo ya Ulinizaa wewe ukanikataa sasa,sasa iweje unaona mi Nafaa.

Nafikiri yupo kwenye 42 to 48 hapa
 
Back
Top Bottom