Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
kanda ya ziwa, mara musoma huko watu wazee wana govi, kusini maenneo ya Iringa US AID ndio wameanzisha kampeni ya mkono sweta kuwatahiri watu wazima, yaani kusini wanaamini ile govi ndio kondom, ;2 ni umri sahihi wakutahiri wanaume madume ya mbegu ila kwa wamasai ni 18 na 21 bila ganzi wanarudi wamechanganyikiwa
Kumekuwa na mjadala nchini Tanzania na zaidi katika mitandao ya kijamii baada ya mbunge mmoja kulishauri bunge kuweka utaratibu maalum kukagua wanaume walio na 'mkono sweta' au wanaume ambao hawajatahiriwa.
Mbunge maalum Jackline Ngonyani amependekeza hatua hiyo katika hoja ya kujadili udhibiti wa maambukizi ya virusi vya ukimwi nchini.
Akizungumza bungeni, Mbunge huyo ameeleza bunge kwamba lengo la 90-90-90 la virusi vya ukimwi litafikiwa nchini Tanzania, pale kutakuwa na ridhaa ya watu kujipima wenyewe.
Jacquline Ngonyani (@ngonyani.jacqueline) • ...
https://www.instagram.com › ngonyani.jacqueline
75 Followers, 29 Following, 2 Posts - See Instagram photos and vide