Hawajifahamu, wapowapo tu, hata hawajui wameletwa duniani kwa makusudio gani.
Jf ni zaidi ya tiss
Nsajigwa aka fuso
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Chuji,amezaliwa 1988.
Ni mdogo kwa Messi.
Lakini mkuu JF hawang'oi watu meno na kucha kama TISS...
98 uko la kwanza?? itabidi humu ndani watu waweke na age yao na kuwe na majukwaa kuendana na umri teteeeehhyupo haruna moshi bobani bwana nakumbuka miye nipo la kwanza mwaka 98 jamaa anasoma sekondary ila nashangaa mpaka leo bado anacheza na umri wa miaka 20
captain john komba kuna siku alikuwa anahojiwa akasema kazaliwa mwaka 1978.....hivi ni kweli?