Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

Hawajifahamu, wapowapo tu, hata hawajui wameletwa duniani kwa makusudio gani.

Hiyo ndio style ya macelebrity wengi bongo na waafrika wengi pia wanapenda kuonekana wadogo ili wapate kusifiwa kuwa wamepata umaarufu wakiwa wadogo kiumri but ni nothing ni kasumba mbaya tu ya kuiganaigana
 
Kwenye part 2 p'se usimsahau Mrisho Khalfan Ngassa.......
Nasikia ni bado under 23........
 
Nsajigwa aka fuso

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

huyu na mwandanji(godfrey bony) toka mwaka 99 wakiwa wanachezea timu ya 'mount' walikuwa hivyohivyo,atakwambia ana miaka 30. Yule anamkaribia Le Mutuz.
 
Watu wanakua kurudi nyuma. Bongo ni zaidi ya uijuavyo
 
NINAVYOFAHAMU PIUS KISAMBALE NA ATHUMAN IDD 'CHUJI' NI NDUGU WA TUMBO MOJA, HUKU ATHUMANI IDD AKIWA AMEZALIWA TAKRIBANI MIAKA MIWILI KABLA YA PIUS. SWALI LA KUJIULIZA IMEKUAKUAJE HIVI SASA PIUS AMEKUA KAKA WA ATHUMAN ? JE? NI WAPI ATHUMAN ALIKWAMA UMRI MPAKA PIUS AKAJA KUMPIKU ?
[TABLE="class: cms_table, width: 591"]
[TR]
[TD="width: 215"]
pius-kasambele.jpg
[/TD]
[TD="width: 164, bgcolor: #FFEFAE"]NAME[/TD]
[TD="width: 198, bgcolor: #FFEFAE"]PIUS KISAMBALE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]NATIONALITY[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]TANZANIA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]DATE OF BIRTH[/TD]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]21 DECEMBER 1987[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]HEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]5’8’ INCHES[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]WEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]68KGs[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]POSITION[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]STRIKER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]JERSEY[/TD]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]PREVIOUS CLUB[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]Polisi Dodoma, Prison FC,
Simba SC
Polisi FC (Rwanda),
Goha FC (India),
Moro Utd, Mtibwa Sugar, Ruvu JKT[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: cms_table, width: 591"]
[TR]
[TD]
chuji.jpg
[/TD]
[TD="width: 164, bgcolor: #FFEFAE"]NAME[/TD]
[TD="width: 198, bgcolor: #FFEFAE"]ATHUMAN IDD[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]NATIONALITY[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]TANZANIA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]DATE OF BIRTH[/TD]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]18 FEBRUARY 1988[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]HEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]WEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]POSITION[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]MIDFILEDER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]JERSEY[/TD]
[TD="bgcolor: #FFEFAE"]18[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]PREVIOUS CLUB[/TD]
[TD="bgcolor: #B0FFB0"]Polisi Dodoma, Simba SC[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kwani Le mutuz alisha declare umri wake hapa? au anavyoreact utoto utoto ndio maana mnamuona mtoto? Le mutuz si huyu alikuwa baharia? si kijana mdogo na hawahi kusema yeye ni mdogo
 
MwanaFA unamuonea tu..maana mwaka 1998 ndo alihitim o-level..alafu mwaka 2002 ndo akatoa nymbo yake ya kwanza..ni 1980..
 
Kabixa binamu(mwanaFA) mnamzushia tu..jamaa kuwa mkwel kwenye umri wake watu mnapinga? Nikwel kazaliwa mwaka 13\03/1980.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha aisee nimecheka sana jamani....
 
hahhaaaaaaaaa umenichekesha kuhusu mwana FA jamaa wa 74

hivi na huyu Sinta atakuwa na umri gani maana anapenda kujidogosaha saana

tunaisubiria hiyo part 2
 
basi wewe mwenzetu utakuwa una kipaji,unawezaje kutambua umri wa mtu kwa kipimo cha macho tu?..
 
Back
Top Bottom