Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

kwa Diamond hapo umejikwa ndugu..huna uhakika na ukisemacho..
kithibitisho sahihi cha umei wa mtu ni chet cha kuzaliwa..
nishakiona chet chake..ni 89mwezi wa kumi
OVER

Hahaaaa ww Tanzania hii cheti cha kuzaliwa kinapatikana kiurahic na kinaandikwa tarehe uitakayo,mwezi na mwaka.
 
Chezea Africa wewe kuna mchezaji wa Nigeria anacheza soka ulaya alifanya birthday party ya kutimiza miaka 24 wakati pacha wake anafanya party kwao Nigeria kutimiza aka 32
 
Ukitaka kumkamata mtu anayedanganya umri muulize kasoma na nani?
mwaka gani kamaliza shule ya msingi kisha toa na mwaka wake wa kuzaliwa.

Mfano: Mtu akisema nimezaliwa mwaka 1989, mwambie ok, sawa sasa shule ya msingi ulimazia lini vilee?
Akisema nilimaliza mwaka 2000 tayari umemkamata. Maana hapo atakuwa alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 11 tu!
 
haaa haaa haaaa njia ya mwongo ni fupi mno.
Chezea Africa wewe kuna
mchezaji wa Nigeria anacheza soka ulaya alifanya birthday party ya
kutimiza miaka 24 wakati pacha wake anafanya party kwao Nigeria kutimiza
aka 32
 
Umri tu unawakosesha raha hawa wasanii wetu wanashindwa kuhofu kifo .
 
Chezea Africa wewe kuna mchezaji wa Nigeria anacheza soka ulaya alifanya birthday party ya kutimiza miaka 24 wakati pacha wake anafanya party kwao Nigeria kutimiza aka 32

Ha ha ha ha!!
Hii Kali aisee!!
 
lady jd ndo kiongoz anaday ana miaka 20+ na kumbe ni double ya umri wake halisi khaaa
 
Wa Bongo Movies na Celebrities wengine mkitaka vyeti hata vya kuzaliwa mwaka 2010 njooni niwape tayarisha sh 40,000/= tu
 
Ngasa kasoma na kaka yangu mwanza o level tena darasa moja. Kaka yangu now ana 35.
acha uongo umri huo kwa mchezaji wa Tanzania asingeweza kuwa na speed aliyonayo ngasa, unapodanganya ukumbuke hapa siyo Facebook wala wasapu.
 
Wa Bongo Movies na Celebrities wengine mkitaka vyeti hata vya kuzaliwa mwaka 2010 njooni niwape tayarisha sh 40,000/= tu

na mashavu yakianza kuchuma kunde unayafanyaje ili yarudie hali yake?
 
Wenzetu wana msemo wanasema" age is just a number " Nashangaa kwa nini mtu ufe na kihoro unadanganya umri ? ni namba tu hiyo , Binafsi huwa nasikia raha sana pale ninapotaja umri wangu halafu mtu ananiambia unaonekana mdogo zaidi , Inamaana Najitunza , na hicho ndicho kitu muhimu , Heshimu Mwili wako Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu,
mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe....sasa ukiwaangalia hawa Vijana Inawezekana wengine kweli ni wadogo ila wengi wao wanaonekana wakubwa kwa miaka kumi zaidi ...yaani wanafuja sana Miili yao na Ulevi, Ngono zembe , Mihadarati ...Jiheshimuni na Muheshimu Miili yenu Bandugu !
 
acha uongo umri huo kwa mchezaji wa Tanzania asingeweza kuwa na speed aliyonayo ngasa, unapodanganya ukumbuke hapa siyo Facebook wala wasapu.

Acha ubishi wa kijinga, ukweli ndiyo huo.
 
[quote name="nyangi m.a" post=6374139]hapana ni madhara ya cosmetics,,cousin wangu kasoma naye uganda na picha zao ukimuona alikuwa mdogo na ryt nw cousin wangu anamalizia udaktari mwaka wa 5
<br />
<br />
Uwoya ni mdogo amesoma bunge primary kamaliza 2002 ana miaka 24 now[/QUOTE]

Dah miaka 24 tu,ila mambo makubwa
 
Back
Top Bottom