Umri ni mamba tu kama mtu ana uwezo uliotukuka acha ateuliwe! Kwani vijana wamefanya maajabu gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kama mtu.anaweza.kudeliver kwanini asiteuliwe?

Umri ni namba tu

Vijana akina Sabaya, Nassari, Makonda, Silinde, Kigwangalla, Waitara, Katambi nk.... nk wamewahi kufanya maajabu gani?

Hapa Jf hata Pascal Mayalla akipata teuzi.mtadai ni mzee wakati anatema madini kuliko Bavicha Wote wa hapa jamvini
 
Jo ndio maana wewe na P mnashindana kuwa pamba wanakijani na kuijaribu kuwadunisha wenye mawazo mbadala ili muonwe mapema kwani mnahofu kubwa ya kupitwa na muda.Kama umeweza kujua kama umri ni namba TU hamna haja ya kuhofu,kama mnastaili mtaonwa TU,muda sahihi ukifika lakini.Hivyo msistake kuwatumia wenzenu kama ngazi.Kumbukeni hata mpanda ngazi hushuka.Pia wahenga walisema aliye juu mngoje chini🚶
 
Vijana nendeni mashambani huko mkazalishe bado mma.nguvu za mwili
 
Kwa maana hiyo SII hasa tuwaachie wazeee sio.Tuko tayari ila shida tunaona jinsi wazeee wanavyotuangusha,tunatamani kuona wakitumia busara zaidi kutuepusha na mengi na kutuletea maendeleo ya kweli Kwa taifa letu ila Kuna mikwamo mingi bado,tunahisi nguvu ya vijana hata huku ni muhimu zaidi hasa wakati huu.
 
Vijana wanaendekeza sana ufisadi wakiteuliwa
 
SII wote Jo wapo vijana waadilifu na wenye weledi,ila mifumo wakati mwingine inawakamisha vijana kuonyesha uwezo wao,mfano,hata Sabaya,au Makonda siamini ni vijana wabaya kama tungekuwa na mifumo imara isiyoangalia mtu,mwenye mamlaka anamsimamo Gani,ndio maana mageuzi ya katiba yetu ni suluhisho la matatizo na mapungufu mengi.Maoni ya katiba ya Mzee wetu Jaji mstaafu warioba ni vyema yakarejelewa ili tutoke kwenye mkwamo tuliojikuta kama Taifa.🤔
 
Back
Top Bottom