Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri sahihi wa kuwa na maisha bora ni pale ambapo utaamua kufocus kuwa bora.wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
Hakuna umri sahihi wa kuwa na maisha bora. Narudia tena, Hakuna!wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
ahsante kwa ushauri kiongoziHakuna umri sahihi wa kuwa na maisha bora. Narudia tena, Hakuna!
Kitu pekee unachoweza kufanya ni kutafuta amani tu uweze kuwa na amani. Kipimo cha mafanikio ni amani uliyonayo sio utajiri wa pesa.
Simaanishi uache kutafuta pesa, Hapana! Ila tafuta pesa huku ukiwa na amani ya moyo, hakika utayafikia mafanikio utakayo
Kila mtu ana mda wake wa mafanikio umri si kigezowakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
Nd upambane ndoto zako angali u haina vijana tunavokufa mApema hivi miaka 70 tutatoboa
Na wewe upo huko?ni kweli sema vijana tumejiingiza katika mambo ya hatari sana na tupo na umri mdogo
shukrani mkuuDhana ya mafanikio yanatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.
Mwingine mafanikio kwake ni pesa na mali.
Mwingine pesa na mali siyo kipao mbele ila kuwa na familia ndiyo maana halisi ya mafanikio kwake. Hivyo anaweza kuwa na pesa nyingi na mali ila asione amefanikiwa bado, mpaka pale atakapokuwa na familia.
Mwingine mafanikio kwake ni kugusa maisha ya watu. Yaani awe ni mtu wa kusaidia na kutoa support mbalimbali katika maisha ya watu bila kujali ukaribu wao kwake.
Mwingine mafanikio ni kuwa hai tu. Yaani uwepo wake akiwa mzima wa Afya njema ndiyo mafanikio kwake.
HIVYO BASI:-
Muda maalum wa mafanikio hutegemeana na maana halisi ya mafinikio uliyonayo.
Kuna waliofanikiwa wakiwa na miaka 15, 20, 25, 30 na kuendelea.
TATIZO LA WENGI:-
Wengi wanaamini ili ufanikiwe ni LAZIMA uwe na mali na pesa nyingi, hii inafanya jamii kuhangaikia pesa na mali na wakishazipata ndipo wanagundua furaha waliyotegemea kuipata baada ya kumiliki mali na pesa HAIPO na ndipo hapo unapoanza kukutana na watu wanaendesha magari makali mjini ila AMANI hawana.
HITIMISHO:-
KIJANA, tambua mapema maana halisi ya mafanikio kwako ni ipi kisha piga hesabu itakugharimu muda na jitiada kiasi gani kufikia malengo hayo.
kwangu mimi mkuu ni kuwa na pesa ya kujikimu mimi pamoja na familia yanguDhana ya mafanikio yanatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.
Mwingine mafanikio kwake ni pesa na mali.
Mwingine pesa na mali siyo kipao mbele ila kuwa na familia ndiyo maana halisi ya mafanikio kwake. Hivyo anaweza kuwa na pesa nyingi na mali ila asione amefanikiwa bado, mpaka pale atakapokuwa na familia.
Mwingine mafanikio kwake ni kugusa maisha ya watu. Yaani awe ni mtu wa kusaidia na kutoa support mbalimbali katika maisha ya watu bila kujali ukaribu wao kwake.
Mwingine mafanikio ni kuwa hai tu. Yaani uwepo wake akiwa mzima wa Afya njema ndiyo mafanikio kwake.
HIVYO BASI:-
Muda maalum wa mafanikio hutegemeana na maana halisi ya mafinikio uliyonayo.
Kuna waliofanikiwa wakiwa na miaka 15, 20, 25, 30 na kuendelea.
TATIZO LA WENGI:-
Wengi wanaamini ili ufanikiwe ni LAZIMA uwe na mali na pesa nyingi, hii inafanya jamii kuhangaikia pesa na mali na wakishazipata ndipo wanagundua furaha waliyotegemea kuipata baada ya kumiliki mali na pesa HAIPO na ndipo hapo unapoanza kukutana na watu wanaendesha magari makali mjini ila AMANI hawana.
HITIMISHO:-
KIJANA, tambua mapema maana halisi ya mafanikio kwako ni ipi kisha piga hesabu itakugharimu muda na jitiada kiasi gani kufikia malengo hayo.
"Pesa ya kujikimu mimi pamoja na familia yangu"kwangu mimi mkuu ni kuwa na pesa ya kujikimu mimi pamoja na familia yangu
Maisha bora ni mtazamo wako, maisha bora kwako si maisha bora kwa mwingine kila mtu ana tafsiri yake mwenyewe acha kujifananisha na wengine tafuta kile kinachokupa amani na furaha ukifanikiwa kukipata utakuwa na maisha bora tayari, ww kuwa na 100m bank kwako yaweza kuwa mafanikio ila kwa mwingine isiwe hivyo ikawa anavyo pia ila bado hana amani na furaha kulingana na hitaji lake la ndani si hela.... Nikupe mfano wangu binafsi ni 28yrs ila akilini sina maisha bora licha ya kuwa na vingi na mtaji ambao kijana yyt wa rika langu au zaidi ni ndoto kwake ila bado siyafurahii maisha 100% kulingina na tafsiri ya maisha bora kwangu ni tofauti na wenginewakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha