Umri sahihi wa miss Tanzania 2016 ni upi?

Umri sahihi wa miss Tanzania 2016 ni upi?

MISS TANZANIA 2016
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
😀 Hatari sana
 
Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
huyu ni siti mtemvu wa pili,itajulikana tu kama ana degree au miaka 18,achague moja,amemaliza tu form four ana 18 au ana degree na miaka 50
 
SIAMI TANZANIA

MISS TANZANIA 2016
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
 
Hakuna familia inayo ongozwa na mwanamke labda awe MJANE
Mimi simaanishi ntunke au ntumme bali ntu anayesema ukweli bila kujali jinsia. Huyu atapewa bandera ya Tanzania kama mwakilishi wa nchi. Na endapo kadanganya itakuwa si aibu yake tena bali sote kama nchi.
 
Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
Kwani vyombo husika si vipo, nao ni majipu walikubalije kudanganywa hadharani hv
 
Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?

Usiropoke pasi na kuwa na vielelezo husika. Leta cheti chake cha kuzaliwa tuone umri wake na cheti cha chuo alichomaliza.

NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK
 
Ni kweli ana miaka 18 na mimi ni shaidi.

Ana shahada ya Mambo ya urembo wa saluni " Hair Design" ambayo amepata kwa mtandanao alipokuwa akisoma sekondari huku anasoma kwa njia ya mtandao na chuo kipo Sumbawanga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nadhani inawezekana yupo chuo anasoma bachelor, majibu yanaweza kuwa hayo.
 
Wangefuta tu haya mashindano maana waandaaji na wasimamiaji haewajifunzi ona sasa 'wanarudia yaleyale
 
Kwa mfumo wa elimu nchini umri mdogo mtu anahitimu chuo kikuu miaka 21. Mfano ukianza darasa ka kwanza umri miaka 5, shule ya msingi miaka 7, shule ya sekondari miaka 6, chuo kikuu miaka 3 jumla 5+7+6+3=21.
 
Alafu form 4 alipata 4..so jumlisha 1yr cheti, 2yrs diploma..alafu 3yrs degree..let say alianza soma ana 5yrs+7yrs+6yrs+3yrs+3yrs=24yrs[emoji12]
 
Back
Top Bottom