The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Mie hata nilikuwa sijui kama kuna hiyo kitu maana ilishapoteza ladha najua miss Tanzania wa mwisho sepetu maana ndio anayesemwa semwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaMie hata nilikuwa sijui kama kuna hiyo kitu maana ilishapoteza ladha najua miss Tanzania wa mwisho sepetu maana ndio anayesemwa semwa
Mkuu kumbe na ww umeona ukomavu wake. Mi nadhani huyo ni above 35yearsAfu kakomaa kweli haona ata aibu
Umekariri sio?Usiropoke pasi na kuwa na vielelezo husika. Leta cheti chake cha kuzaliwa tuone umri wake na cheti cha chuo alichomaliza.
NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK
Umekariri sio?
Unahitaji research gani kupinga kua mtu mwenye miaka 18 katika elimu ya Tz kua na degree?
Umri halali wa kisheria kuanza darasa la kwanza ni 7yrs...
unamaliza la saba na 13 yrs...
14 yrs upo fom 1.....
17 years upo form 4....
18 years unaanza form 6 unamaliza na 20yrs.
Unanza degree ya miaka 3 ukiwa na 20 yrs unakuja kumaliza na 23yrs.
Hapo ni kwa mtu aliyeanza na miaka ya serikali 7yrs .
Umekariri sio?
Unahitaji research gani kupinga kua mtu mwenye miaka 18 katika elimu ya Tz kua na degree?
Umri halali wa kisheria kuanza darasa la kwanza ni 7yrs...
unamaliza la saba na 13 yrs...
14 yrs upo fom 1.....
17 years upo form 4....
18 years unaanza form 6 unamaliza na 20yrs.
Unanza degree ya miaka 3 ukiwa na 20 yrs unakuja kumaliza na 23yrs.
Hapo ni kwa mtu aliyeanza na miaka ya serikali 7yrs .
Tuliza mshindoUMEKURUPUKA, Huwezi kunielewa.
Tuliza mshindo
We taaira mi nachangia post inavosema mavi wewePunguza mihemko na wewe. Kasema wapi kuwa ana degree?? Usiwe unaongea / kuandika vitu usivyokuwa na uhakika navyo. Kama ulivyoambiwa hapo NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
Nilimuachia mama ako sioUliusahau huku jana. Njoo uuchukue mshindo wako
Nilimuachia mama ako sio
Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
Ukute ni majina yanayofanana tu maana lukumay ni ukoo wakimasai huyu si kasoma arusha Day. Kama kweli kadaganya ajiandae
Katika post zilizonivunja mbavu hii ni moja wapo..TANGU Mwanzo NILISEMA MNAKURUPUKA WATANZANIA.
ACHENI KUKURUPUKA NA KUJIDAI HAMNAZO.
TAARIFA KWA UMMA
Napenda kuujulisha Umma yafuatayo;
1. Miss Tanzania 2016/2017 aliyeshinda taji jana jijini Mwanza, anaitwa Diana Edward Loy na siyo Diana Lukumai kama inavyotajwa mitandaoni.
2. Mlimbwende huyo amemaliza kidato cha nne 2015 Shule ya Sekondari Arusha Day na si 2011 kama inavyotajwa mitandaoni kwa malengo ovu.
3. Diana hajawahi kujiunga na Elimu ya Chuo Kikuu chochote Tanzania au duniani bali anatarajia kujiunga mwaka huu katika chuo cha IFM kusomea masula ya kodi ngazi ya stashahada (cheti) ingawa kulingana na ratiba zake na majukumu yake mapya ikiwemo kushiriki Miss world mapya huenda akaahirisha mwaka wake wa masomo.
4. Tunawasihi watanzania kutumia vyema mitandao ya kijamii na si kufanya "Character assassination" lakini pia tunaheshimu haki yao ya msingi ya kuhoji masuala ya msingi kabisa kuhusu mtu ambaye ni Public figure na ataliwakilisha taifa katika anga za kimataifa.
Tumuunge mkono mlimbwende wetu ili atuletee Taji la Dunia.
Ni msichana Asiye na bwana wala boyfriend na hajui mwanaume i.e mwanamwali!
Kwa maelezo yake mambo hayo ataanza baada ya kumaliza masoma na kufanya kazi miaka minne!
Ahsanteni.
Charles William
Kaimu Ofisa Habari wake.
Hakuna familia inayo ongozwa na mwanamke labda awe MJANE