Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

Kila mtu aishi aonavyo, sisi ni nani kuanza kujaji. Tafuta mtu kulingana na vigezo ulivyojiwekea. Kila la heri...
 
Unataka mwenye hela afu wewe uendelee kuwa mwanaume au utampa uanaume wako naye akupe uanauke wake (KIMAJUKUMU)
 
Ingetosha kumuacha Mwamba atafute anachotafuta.

Hata simba dume anatafuta majike wanaojua kuwinda vizuri.

Kikubwa jua namna ya kum-control huyo mwanamke.

Ila huyu jamaa ni jasiri na kadhamiria, safi sana Bro. Keep it Up

Amina
 
Kila mtu aishi aonavyo, sisi ni nani kuanza kujaji. Tafuta mtu kulingana na vigezo ulivyojiwekea. Kila la heri...

Nawashangaa sana wanaonibeza tena wengine wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…