Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

🤣🤣🤣🤣Dunia inakwisha
Badala ufanye kazi unatafuta kudanga mtoto wa kiume

Najaribu kukwepa lakini unakuja, kwa haraka haraka huwa nahisi unatamani kukalia dudu langu ila niweke wazi kuanzia leo kuwa sikutaki.

Kwanza huna hela
 
Najaribu kukwepa lakini unakuja, kwa haraka haraka huwa nahisi unatamani kukalia dudu langu ila niweke wazi kuanzia leo kuwa sikutaki.

Kwanza huna hela
Dudu la mdangaji???
🤣🤣🤣🤣🤣Kweli umevurugwa wewe
 
mbona wanaume tunazingua, mtu ashasema anatakadem mwenye hela sa tunalalamika nn kwani k zetu au za wanawake, siai tutulieni kila mtu na zali lake
 
Sitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha.

Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate mwanamke wa kuheshimu".

Kwa mawazo yangu na ukweli niujuao ni kwamba, "mapenzi hayachagui wala hayabagui".

Natafuta mpenzi mwenye pesa maana kwa idea nilizonazo endapo tu nipata mwanamke mwenye pesa basi nitaongeza kipato chake mara mbili zaidi ya pesa alizonazo. Kama hutaki kuamini basi wewe dada nitafute PM na uwe serious kama nilivyo.

Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye. Natamani kupata mtu ambaye kama atakuwa anawiwa tufanye vitu vya kuishangaza dunia na JF included.

SIFA ZANGU:

Dini: Roman Catholic
ELIMU: Soma mwandiko wangu
Umri: Under 30
Kazi: ......
Kasi ya mapenzi: 1 hour for two goals (I mean Kunyanduana)
Marital status: Single
Kabila: Tutajuana PM
CONTACT: Njoo PM
Quality Intelligence: Tutapima
Mtoto: Sina
Makazi: Tutajuana PM

SIFA ZA MTU NINAYE MHITAJI:

1. AWE NA HELA
2. Kabila lolote
3. Dini yoyote
4. Aishi sehemu yoyote ile duniani
5. Anipende

NB: Kwa yeyote aliye serious naomba aje PM na nipo serious.

Mwisho: Nahitaji mke kutoka moyoni mwangu mbele ya hii public ya watu zaidi ya laki 5.

Naomba kuwasilisha....
Mkuu kwa mwandiko wako unajua kuwa unafaa kuwa mwanachama wa mtaga/ccm?
 
mbona wanaume tunazingua, mtu ashasema anatakadem mwenye hela sa tunalalamika nn kwani k zetu au za wanawake, siai tutulieni kila mtu na zali lake

Bora umenisaidia
 
Huo siyo uanaume sasa. Hapo kuna tatizo.

Ngoja nikupe faida kidogo, kwa kawaida mwanamke huolewa kwa moja ya sifa hizi :

1. Nasaba yake.
2. Uzuri wake
3. Mali yake
4. Nafasi yake

Ila tukaambiwa katika yote hayo kilicho cha msingi ni Dini yake kwa maana ya tabia njema, kwani kwa kufanya hivyo, mikono yako haitashika mchanga.

Mwanamke anaruhusiwa kumiliki Mali na wapo wanawake wenye mali, na mali wanazipata si kwa kukiuka sheria, wapo wenye mali za kurithi na mfano wake. Lakini mali ya mwanamke kuitoa kwa ajili ya familia si lazima mpaka atake yeye, na huruhusiwi kumuuliza kwanini hajatoa mali yake kuihudumia familia.

Kwa uchache tosheka na maelezo haya mafupi.

Nipo ....
Crystal clear. Thank you.
 
Wanaume mmebaki wachache ustaadh
 
Back
Top Bottom