mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
50 ndio mtu wa makamo. Mzee kwenye 70 huko36+ ni mtu wa Makamo! Mzee ni kuanzia 50.
🤣🤣🤣50 ndio mtu wa makamo. Mzee kwenye 70 huko
Kikongwemzee nafikiri kuanzia 90
Wewe tayari ni babu. Unasubiri kufa tu. Zidisha sala na kwenda nyumba za ibada. Umesshapita umri wa kuwa mzee.Mtanzania kijana ni mwenye miaka 18-35,je ukiwa na miaka 36 kwenda juu unakuwa umepata hadhi na status za kuitwa mzee, na kama sio mzee je mwenye miaka 36 kwenda juu ni nani. Nataka kukata safari za kwenda bar, nijikite nyumba za ibada, niondoke kati kati ya mji nikajichimbie nje kidogo ya mji, niendelee kujipanga na kikokotoo , niache kabisa kuvichakata vibinti vya chuo nijikite kwa single mother na wajane maana hapa umri utakuwa umenitupa mkono nk miaka yangu ni 38
Basi babu kristiano ronaldo mbona hataki kuachi mpira vijanaMwanaume 32
Mwanamke 28
Mmewauliza CCM ujana unaishia miaka mingapi? Maana kule naonaga hadi wazee wa miaka 44 bado wakiwa viongozi wa jumuiya ya vijana (UVCCM).First day on earth---17 (Mtoto)
18-35(Kijana)
36-55(Makamo)
56-85(Mzee)
86+ (kikongwe)
siyo 44 mzee akina mkuchika bado wako uvccm badoMmewauliza CCM ujana unaishia miaka mingapi? Maana kule naonaga hadi wazee wa miaka 44 bado wakiwa viongozi wa jumuiya ya vijana (UVCCM).
Katiba ya soka yenyewe inasemaje kwani? Kama amevunja katiba ya FIFA, hapo sawa aondoke tu, mkuu.Basi babu kristiano ronaldo mbona hataki kuachi mpira vijana
Kuanzia miaka 25 kuendelea ukishakuwa na hela basi wewe ni mzee tuMtanzania kijana ni mwenye miaka 18-35, je ukiwa na miaka 36 kwenda juu unakuwa umepata hadhi na status za kuitwa mzee, na kama sio mzee je mwenye miaka 36 kwenda juu ni nani.
Nataka kukata safari za kwenda bar, nijikite nyumba za ibada, niondoke kati kati ya mji nikajichimbie nje kidogo ya mji, niendelee kujipanga na kikokotoo, niache kabisa kuvichakata vibinti vya chuo nijikite kwa single mother na wajane maana hapa umri utakuwa umenitupa mkono nk, miaka yangu ni 38.