Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Okwi kazaliwa 25 Dec 1992, so ana miaka 26 na nusu labda.Kagere 35 Okwi 31.
Kagere kazaliwa 10 October 1986,
So ana miaka 33 kasoro Miezi minne hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okwi kazaliwa 25 Dec 1992, so ana miaka 26 na nusu labda.Kagere 35 Okwi 31.
Lini Mikia alichukua Ubingwa bila kufungwa?Mlitaka kujaribu mwaka jana Kagera akatoboa tundu mbele ya JiweKwa nijuavyo okwi au emosting kaja simba 2009 akitokea sports villa ya kwako Uganda na mwaka huo simba alichukua ubingwa bila kafungwa so mpaka Leo ana miaka 10 bongo acha zile za kwenda hapa na pale
Kagere anaweza kustaafu kwa hiari (55)Wakuu wadau wa soka Nina maswali mawili naomba mnisaidie
Kwanza Ni umri wa kagere mchezaji wa simba pili nataka nijue okwi ana muda gani toka aanze kucheza soka la hapa bongo
Kwa nijuavyo okwi au emosting kaja simba 2009 akitokea sports villa ya kwako Uganda na mwaka huo simba alichukua ubingwa bila kafungwa so mpaka Leo ana miaka 10 bongo acha zile za kwenda hapa na pale
Mkuu vipi ushasahau mara hii?.Lini Mikia alichukua Ubingwa bila kufungwa?Mlitaka kujaribu mwaka jana Kagera akatoboa tundu mbele ya Jiwe
Kuna watu mpira mmeanza fwatilia juzi usikurupuke fwatilia kwanza uta aibika wazi wazi 2009/10 simba kuchukua ndoo bila kufungwa, yanga alikufa nje ndani mechi ya kwanza simba anashinda1-0 na ya pili simba anashinda 4-3 kwa taarifa tu kama ulikua ujui Leo umejua usibishe pasipo kujua uliza kwanza mpira mmejua Jana mnaanza mbwembwe ata vikosi vyote simba na yanga ukitaka nakutajia msimu huo 2009/10 shuba------Lini Mikia alichukua Ubingwa bila kufungwa?Mlitaka kujaribu mwaka jana Kagera akatoboa tundu mbele ya Jiwe
Mtoto kazaliwa 2000 huyo Ubongo wake ulikuwa bado una nta na alikuwa anafuatilia mpira kusikiliza kwenye vijiwe vya kahawa ubishaniKuna watu mpira mmeanza fwatilia juzi usikurupuke fwatilia kwanza uta aibika wazi wazi 2009/10 simba kuchukua ndoo bila kufungwa, yanga alikufa nje ndani mechi ya kwanza simba anashinda1-0 na ya pili simba anashinda 4-3 kwa taarifa tu kama ulikua ujui Leo umejua usibishe pasipo kujua uliza kwanza mpira mmejua Jana mnaanza mbwembwe ata vikosi vyote simba na yanga ukitaka nakutajia msimu huo 2009/10 shuba------
Kwa hiyo wakati Okwi anakuja Simba Mara ya kwanza alikuwa under 17?!?Okwi kazaliwa 25 Dec 1992, so ana miaka 26 na nusu labda.
Kagere kazaliwa 10 October 1986,
So ana miaka 33 kasoro Miezi minne hivi.
Labda alianza kucheza ligi ya Uganda akiwa na miaka 12Kwa hiyo wakati Okwi anakuja Simba Mara ya kwanza alikuwa under 17?!?
Ulikuwa shuleLini Mikia alichukua Ubingwa bila kufungwa?Mlitaka kujaribu mwaka jana Kagera akatoboa tundu mbele ya Jiwe
Hio ni miaka ya kazini ambayo wachezaji karibu wote wa Africa wanaitumiaKwa hiyo wakati Okwi anakuja Simba Mara ya kwanza alikuwa under 17?!?
Kocha phir alikiri kuna mechi walikua wakinunua ndio maana walimalizaligi bila kufungwa.Kuna watu mpira mmeanza fwatilia juzi usikurupuke fwatilia kwanza uta aibika wazi wazi 2009/10 simba kuchukua ndoo bila kufungwa, yanga alikufa nje ndani mechi ya kwanza simba anashinda1-0 na ya pili simba anashinda 4-3 kwa taarifa tu kama ulikua ujui Leo umejua usibishe pasipo kujua uliza kwanza mpira mmejua Jana mnaanza mbwembwe ata vikosi vyote simba na yanga ukitaka nakutajia msimu huo 2009/10 shuba------
Mmekuja na nyezo ile ile simba wananunua basi ata yanga alinunuliwa mana alipigwa nje ndani 1-0 mgosi na 4-3 mgosi (2) Uhuru selemani 1 Hilary echesa 1 yanga chuji 1 tegete 2 na ndio itabaki ivyo 2009/10 simba was unbeatenKocha phir alikiri kuna mechi walikua wakinunua ndio maana walimalizaligi bila kufungwa.