Umri wa Kagere na miaka ya Okwi

Umri wa Kagere na miaka ya Okwi

Mnajadili rangi ya paka badala ya uwezo wake wa kukamata panya? Hao washua wawili wana 38 goals
 
Kwa nijuavyo okwi au emosting kaja simba 2009 akitokea sports villa ya kwako Uganda na mwaka huo simba alichukua ubingwa bila kafungwa so mpaka Leo ana miaka 10 bongo acha zile za kwenda hapa na pale
Lini Mikia alichukua Ubingwa bila kufungwa?Mlitaka kujaribu mwaka jana Kagera akatoboa tundu mbele ya Jiwe
 
Mkuu vipi ushasahau mara hii?.
Hiyo ya mwaka jana ilikuwa iwe mara ya pili mnyama kuchukua ndoo bila kufungwa.
Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2010 chini kocha mzambia Patrick Phiri.
Azam ya Omog nao walishawahi kufanya hivyo pia.
 
Lini Mikia alichukua Ubingwa bila kufungwa?Mlitaka kujaribu mwaka jana Kagera akatoboa tundu mbele ya Jiwe
Kuna watu mpira mmeanza fwatilia juzi usikurupuke fwatilia kwanza uta aibika wazi wazi 2009/10 simba kuchukua ndoo bila kufungwa, yanga alikufa nje ndani mechi ya kwanza simba anashinda1-0 na ya pili simba anashinda 4-3 kwa taarifa tu kama ulikua ujui Leo umejua usibishe pasipo kujua uliza kwanza mpira mmejua Jana mnaanza mbwembwe ata vikosi vyote simba na yanga ukitaka nakutajia msimu huo 2009/10 shuba------
 
Mtoto kazaliwa 2000 huyo Ubongo wake ulikuwa bado una nta na alikuwa anafuatilia mpira kusikiliza kwenye vijiwe vya kahawa ubishani
 
Nadhani amalizie huu msimu
Screenshot_20190601-113648.jpeg
 
Kuna watu mpira mmeanza fwatilia juzi usikurupuke fwatilia kwanza uta aibika wazi wazi 2009/10 simba kuchukua ndoo bila kufungwa, yanga alikufa nje ndani mechi ya kwanza simba anashinda1-0 na ya pili simba anashinda 4-3 kwa taarifa tu kama ulikua ujui Leo umejua usibishe pasipo kujua uliza kwanza mpira mmejua Jana mnaanza mbwembwe ata vikosi vyote simba na yanga ukitaka nakutajia msimu huo 2009/10 shuba------
Kocha phir alikiri kuna mechi walikua wakinunua ndio maana walimalizaligi bila kufungwa.
 
Mmekuja na nyezo ile ile simba wananunua basi ata yanga alinunuliwa mana alipigwa nje ndani 1-0 mgosi na 4-3 mgosi (2) Uhuru selemani 1 Hilary echesa 1 yanga chuji 1 tegete 2 na ndio itabaki ivyo 2009/10 simba was unbeaten
 
Back
Top Bottom